×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 10, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Shule za Mkoa wa Mbeya Zakabidhiwa Madawati 100 na Miche 200 ya Miti na Stanbic

Mbeya, Tanzania, Jumatano, 6 Novemba 2024 – Stanbic Bank Tanzania inaendelea kuwekeza katika elimu na uhifadhi wa mazingira kwa kutoa...

READ MORE

DCB Kuongeza Mtaji wa Tsh Bilioni 10.7

BENKI ya Biashara ya DCB, imezindua zoezi ya uuzaji wa Hisa za Upendeleo, ikitarajia kupata zaidi ya sh bilioni 10.7...

READ MORE

RC Chalamila Azindua Upandaji wa Miti Mabwepande

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila Leo Novemba 9,2024 amezindua mpango maalum wa upandaji wa miti...

READ MORE

Kamati ya Bunge Yapongeza Serikali Uwekezaji Kiwanda Cha Chai Mponde

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe.Dkt....

READ MORE

NMB yatenga Mil. 450/- Kuzawadia Wateja Kampeni ya MastaBata ‘La Kibabe’

BENKI ya NMB imezindua msimu wa sita wa kampeni maalum ya kuhamasisha matumizi na malipo kwa njia ya kadi ‘NMB...

READ MORE

Ligi Za Kibabe Kukupatia Pesa Leo

Leo hii ni Jumamosi nyingine ya kusaka pesa hapa Meridianbet ambapo mechi za kibabe zinapigwa kutoka ligi mbalimbali Duniani. Unangoja...

READ MORE

Kilomita 33 za Lami Kuwanufaisha Wananchi Inga Kupitia Mradi wa Rise

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) inaendelea na ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika barabara ya...

READ MORE

PDF, Jenga Hub Wazindua Mradi wa ‘Mitandao Salama Kwa Watoto’

Peoples Development Forum (PDF), kwa kushirikiana na Jenga Hub, imezindua Mradi wa Mitandao Salama kwa Watoto ambao utakelezwa katika shule...

READ MORE

Amos Makalla: Chadema Wanavurugana Hawajajipa – Video

Katibu uenezi walichama Chama cha Mapinduzi (CCM) taifa, Amos Makalla, amewashauri viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kumaliza...

READ MORE

UVCCM Shanghai Wampongeza Rais Mwinyi Kwa Mafanikio

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi,...

READ MORE

Abbas Tarimba Ajivunia Kumaliza Mafuriko Kinondoni – Video

Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba amefunguka na kueleza kwamba moja kati ya matatizo sugu yaliyopatiwa ufumbuzi Kinondoni katika kipindi chake...

READ MORE

Rais Biden awasihi Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi wa rais

Rais Joe Biden amewasihi Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi wa rais wa Jumanne, ambapo Rais wa zamani Donald Trump alimshinda...

READ MORE

Diamond Platnumz Aonekana ‘Lokesheni’ na Dairekta Mkubwa wa Movie

Habari za chinichini zinasema kwamba baada ya kufanya poa kwenye reality show huko Afrika Kusini, Diamond Platnumz ameamua kuingia kwenye...

READ MORE

Kwa nini Wanaume Wanaongoza kwa Usaliti?

UHUSIANO wa kimapenzi, ni jambo gumu sana. Ugumu wake unatokana na ukweli kwamba, mwanaume aliyezaliwa na kulelewa katika mazingira tofauti...

READ MORE

Mchengerwa, Awataka Wagombea Ambao Hawajaridhishwa Kuweka Pingamizi

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa, amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 9, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Dkt. Abbasi: Rais Samia Ameanza Kuipa Thamani Sekta ya Ufugaji Nyuki

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe....

READ MORE

Makamu wa Rais Kuondoka leo kuelekea Baku Azerbaijan, Kumwakilisha Rais Samia

Makamu wa Rais,  Dkt. Philip Mpango anaondoka nchini leo Novemba 08, 2024 kuelekea Baku nchini Azerbaijan, kumwakilisha Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Wikendi ya Kutimiza Ndoto Zako Imefika

Je unajua kuwa Ijumaa ya leo ni ya kitajiri endapo utabashiri na Meridianbet na kuifanya wikendi yako kuanza vyema kabisa....

READ MORE