×

FIFA Yaiondolea Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Young Africans adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo...

READ MORE

Polisi wamkamata kiongozi wa jaribio la mapinduzi nchini Bolivia

Polisi nchini Bolivia wamemkamata kiongozi wa jaribio la mapinduzi, saa chache baada ya ikulu ya rais katika mji mkuu La...

READ MORE

Naibu Rais Kenya Amtaka Mkurugenzi Mkuu wa NIS Ajiuzulu

Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amekashifu Idara ya Kitaifa ya Ujasusi ambayo anadai ilishindwa kumjulisha Rais William Ruto kwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 27, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Namba ya NIDA Kurahisisha Kufungua Akaunti ya Benki ya Equity

SEKTA ya huduma za fedha ni miongoni mwa sekta zinazokua kwakasi hapa nchini, huku ujumishaji wa watu katika huduma hizo...

READ MORE

Serikali Yaihakikishia Ushirikiano Mwalimu Commercial Bank Plc (MCB)

Serikali imeihakikishia Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) ushirikiano wa karibu ili kusaidia kuondoa changamoto ndogondogo zinazokabili benki hiyo, na...

READ MORE

Mwanamke Ajifungua Mapacha Watano kwa Mpigo Baada ya Kuhangaika Kwa Muda Mrefu

Katikati ya mji wa Meru nchini Kenya kinatokea kisa kimoja ambapo mwanamke mmoja, Lulu Wawira, 60, amekuwa gumzo na kuwashangaza...

READ MORE

Ruto Atupilia Mbali Mswada wa Fedha – kubana matumizi, kusitisha miradi ya maendeleo

Rais wa Kenya Willam Ruto ametupilia mbali mswada wa fedha wa 2024 uliozusha utata na maandamano makubwa nchini humo na...

READ MORE

Wabunge Wapitisha Kwa Kishindo Bajeti Kuu Ya Serikali – Video

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha kwa kishindo bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Msikilize Spika...

READ MORE

Azam FC: Hatujapokea pesa za Prince Dube

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Azam, Thabiti Zakaria Zaka Zakazi amesema kuwa bado hawajapokea malipo...

READ MORE

CEO wa Meridianbet Zoran Milosevic! Kufunguka Uwekezaji wake

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Meridianbet Zoran Milosevic, atakuwa mzungumzaji mkuu katika Siku ya Wawekezaji ya Senzal, moja ya jukwaa muhimu...

READ MORE

Waziri Mkuu Akutana Na Viongozi Wa Jumuiya Ya Wafanyabiashara

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Juni 26, 2024.

READ MORE

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Access Afrika Akutana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania

  Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amekutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Access Afrika....

READ MORE

#Exclusive: Amina Vikoba Apigwa Na Kitu Kizito Na Mume Wake – Video

Msanii wa maigizo nchini, maarufu kama Amina Vikoba ambaye ni dada wa msanii wa Singeli, Dulla Makabila @Amina_vikoba amefunguka kuhusu...

READ MORE

Shigongo: Watanzania Wamechoka Kuwa Maskini, Ashauri Mabenki Kusaidia Wazawa – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema sheria za udhibiti wa fedha za umma zinapaswa kusimamiwa kikamilifu ili kudhibiti wizi wa...

READ MORE

Taifa Gas yazindua mpango wa punguzo la bei ya mitungi ya gesi kwa wanafunzi vyuo vikuu

    Na Mwandishi Wetu Kampuni ya kuuza nishati ya gesi ya kupikia majumbani ya Taifa Gas Limited imezindua mpango...

READ MORE

Muswada wa fedha 2024: Uhuru Kenyatta Awaomba Viongozi Kuwasikiliza Wananchi

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, ametangaza kuwa anasimama na raia wa Kenya na kuitaka serikali...

READ MORE

HEIFER  International Nchini Tanzania Yazindua Shindano la AYuTe Africa Challenge 2024

HEIFER  International nchini Tanzania imezindua shindano la AYuTe Africa Challenge kwa mwaka 2024 litakalotoa nafasi kwa vijana wavumbuzi kupata ufadhili...

READ MORE

#Exclusive: Wastara Amwaga Machozi – Afichua Kuzushiwa Kifo, Miezi 5 Sijalala – Video

Mwigizaji wa filamu za Kibongo wa kitambo, Wastara Juma amemwaga machozi alipokuwa akihojiwa na mtangazaji  Global TV, Imeda Mtema.

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 26, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE