×

Naibu Waziri Hamad Afika Kwenye Shamba la Kuku Kisarawe Linalozalisha Kuku Milioni 6

Naibu Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Dkt. Salum Soud Hamed, amefanya ziara maalum wilayani Kisarawe akiongozana na Kamati...

READ MORE

Video: Marekani na Israel Watangaza Mpango wa Kuchukua Udhibiti wa Anga ya Iran

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema Marekani na Israel zinakusudia kuchukua udhibiti kamili wa anga ya Iran ndani...

READ MORE

Marekani Yathibitisha Kuzamisha Meli ya Kivita ya Iran Karibu na Sri Lanka – Video

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth leo Machi 4, 2026 amethibitisha kuwa manowari ya Marekani imezamisha meli ya kivita...

READ MORE

Video: Waziri Mkuu Amtumbua Muuguzi Aliyemfanyia Upasuaji Mjamzito Nyumbani

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa muuguzi wa Mkoa wa Tabora anayeshutumiwa kumfanyia mgonjwa upasuaji...

READ MORE

Meli Ya Kijeshi Ya Iran Yazama Ikiwa Na Watu Zaidi Ya 100

WJeshi la wanamaji na jeshi la anga la Sri Lanka limetumwa haraka kuwaokoa mabaharia wa Iran baada ya meli yao...

READ MORE

Video: Tani 9.93 Za Dawa Za Kulevya Zakamatwa, Watuhumiwa 151 Wanaswa

Mwezi Januari na Februari 2026, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ilikamata tani 9.93 za dawa za...

READ MORE

Viwanda Mkoani Pwani Vyatakiwa Kuboresha Mazingira ya Kazi

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Rahma Kisuo, ameziagiza menejimenti za viwanda Mkoani Pwani...

READ MORE

Bei ya Mafuta Yapanda – EWURA Yatangaza Bei Mpya za Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) leo Machi 4, 2026 imetangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu. Bei...

READ MORE

Tengeneza Maisha Yako na Meridianbet Usikose Leo! Man City, Arsenal Kukiwasha!

Je unajua kuwa Meridianbet ndio wakali wa Odds Tanzania?. Yaani namaanisha kuwa ukitaka Odds kubwa na za kibabe wewe njoo...

READ MORE

Israel Yashambulia Makao Makuu ya Jeshi la Iran mjini Tehran

Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limethibitisha mashambulio dhidi ya makao makuu ya kijeshi ya Iran mjini Tehran, huku Qatar...

READ MORE

Wanajeshi 6 wa Marekani Wauawa Kuwait Katika Shambulio la Iran

Jeshi la Marekani limeithibitisha idadi ya kwanza ya vifo vya wanajeshi wake katika mzozo unaokua kati ya Marekani na Iran....

READ MORE

Video: Dubai Yaimarisha Usalama Baada ya Shambulio la Droni Kutoka Iran

Ubalozi wa Marekani ulioko mjini Dubai katika United Arab Emirates ulishambuliwa kwa droni usiku wa Jumanne, Machi 3, 2026. Droni hiyo,...

READ MORE

Iran Yapiga Kambi ya Kijeshi ya Marekani Qatar kwa Kombora la Balestiki – Video

Kombora la balestiki lililorushwa na Iran limepiga kambi ya kijeshi ya Marekani katika Al Udeid Air Base nchini Qatar, kwa...

READ MORE

Mahenge Spinel: Fursa ya Uwekezaji wa Kipekee katika Soko la Vito Duniani

Spinel ni miongoni mwa madini ya vito yenye thamani kubwa sana duniani, yanayoendelea kupata umaarufu mkubwa katika masoko ya kimataifa...

READ MORE

Kwa Non-Stop Win&Go Drop Kila Dakika Ni Nafasi Mpya ya Kushinda

Sekta ya ubashiri mtandaoni imepata msisimko mpya baada ya Meridianbet kuzindua promosheni yake ya kipekee ya Non-Stop Win&Go Drop. Hii...

READ MORE

Watu 10 Wakamatwa kwa Tuhuma za Ujasusi wa IRGC Nchini Qatar

Nchi ya Qatar imetangaza kukamatwa kwa watu 10 wanaoshukiwa kuwa majasusi wanaohusishwa na Iran. Kwa mujibu wa shirika la habari...

READ MORE

Sekta Binafsi Kushiriki Kikamilifu Maandalizi ya Afcon 2027

  Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, kuweka mikakati  madhubuti ya kuhakikisha sekta binafsi nchini inanufaika kikamilifu...

READ MORE

Barcelona Yatolewa Copa del Rey, Atletico Madrid Yatinga Fainali

Barcelona imekosa nafasi ya kufika fainali ya Copa del Rey baada ya kupoteza kwa jumla ya mabao 4-3 dhidi ya...

READ MORE

Kijitonyama Veterans Yagusa Mioyo ya Watoto Yatima Dar

TIMU ya Kijitonyama Veterans imefanya ziara ya kipekee ya kutembelea Vituo Viwili vya Wenye Uhitaji (Watoto Yatima) sambamba na kutoa...

READ MORE

Zelensky Aonya Vita vya Mashariki ya Kati Vinaweza Kuathiri Ulinzi wa Anga wa Ukraine

Rais wa Volodymyr Zelensky ameonya kuwa mzozo unaoendelea katika Mashariki ya Kati unaweza kuathiri moja kwa moja uwezo wa Ukraine...

READ MORE