×

Fahamu Filamu 100 Bora Kuanzia Mwaka 2000 -2026, ‘Parasite’ Ya Korea Kusini Yaongoza

Tovuti maarufu ya mapitio ya filamu Rotten Tomatoes imetoa orodha ya filamu 100 bora za karne ya 21 (2000-2026) zilizopata...

READ MORE

Miaka 18 Baadaye: Jk Akutana Tena Na Catherine, Binti Aliyefanyiwa Upasuaji Wa Moyo Akiwa Na Miaka Minne – Video

Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mei 29, 2026 amekutana tena na Bi. Catherine P. Conrad...

READ MORE

Urusi Yaishambulia Romania, Balozi Wa Urusi Afukuzwa, Hofu Yatanda Ulaya Mashariki -Video

Rais wa Romania Nicușor Dan ameitisha kikao cha dharura cha baraza kuu la ulinzi wa taifa kufuatia kile alichokitaja kuwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 30, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Wafanyabiashara Wapata Mbinu za Ukuaji Kupitia NMB Business Club

Mwenyekiti wa NMB Business Club Mkoa wa Dar es Salaam na Mjumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT),...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Aongoza Viongozi Mazishi ya Mama Magufuli Chato, Geita

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, ndugu na...

READ MORE

Marekani na Iran Wakubaliana Kusitisha Vita kwa Siku 60

Mvutano kati ya Iran na United States unaweza kuingia katika hatua mpya ya utulivu baada ya mataifa hayo mawili kuripotiwa...

READ MORE

Dakika 90 za Moto: Nice na Saint-Étienne Kila Mmoja Akitaka Ushindi

Kadri muda unavyozidi kwenda ndipo joto linavyozid kupanda kwa timu za Nice na Saint-Etienne kwani wote wawili wanahitaji nafasi ya...

READ MORE

Dkt. Nchimbi: Mama Magufuli Ameacha Mfano wa Malezi na Uzalendo – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Meta Yazindua Huduma za Kulipia Kwa Facebook, Instagram na WhatsApp

Kampuni ya teknolojia ya Meta imetangaza rasmi kuzindua huduma mpya za usajili wa kulipia kwa majukwaa yake ya Facebook, Instagram...

READ MORE

Marekani Yaionya Oman Kuhusu Ushuru Katika Mlango wa Bahari wa Hormuz

Waziri wa Fedha wa Marekani, Scott Bessent amesema Oman imeihakikishia Marekani kuwa haina mpango wa kuweka ushuru kwa meli zinazopita...

READ MORE

Nchimbi Aungana na Waombolezaji Katika Ibada ya Mama Magufuli (Picha +Video)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi amefika katika Viwanja vya Kilimani vilivyopo Wilaya ya Chato...

READ MORE

Wanafunzi 8 Washikiliwa Kufuatia Moto wa Shule ya Utumishi Girls Kenya

Polisi nchini Kenya wamewakamata na kuwazuilia wanafunzi wanane kuhusiana na mkasa wa moto uliotokea katika shule ya bweni ya wasichana...

READ MORE

Washindi Wa Kwanza Wa Kampeni Ya “Kila Muamala Ni Bao La Ushindi” Wakabidhiwa Zawadi Zao

29.05.2026, Dar es Salaam – Kampuni ya Mixx imewakabidhi zawadi washindi wa awamu ya kwanza wa kampeni ya “Kila Muamala...

READ MORE

Zombie Apocalypse Yaweka Viwango Vipya vya Burudani

Msisimko wa kipekee unaendelea kutawala mitaa ya burudani ya mtandaoni kupitia mchezo wa Zombie Apocalypse unaopatikana Meridianbet. Vijana sasa wanazidi...

READ MORE

Karatu Kunufaika na Uwekezaji wa Kituo cha Mafuta cha Orxy

UZINDUZI wa kituo kipya cha mafuta cha Orxy wilayani Karatu mkoani Arusha umeelezwa kuwa ni hatua muhimu ya kuongeza fursa...

READ MORE

Trump: Bado Hatujaridhishwa na Mpango wa Amani wa Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amesema bado hajaridhishwa na pendekezo la amani kutoka Iran licha ya siku chache zilizopita kueleza...

READ MORE

Mashabiki wa Tyla Wapaniki Baada ya Kutoweka Mitandaoni Kabla ya APop

Mashabiki wa msanii wa Afrika Kusini, Tyla, wameibua taharuki mtandaoni baada ya nyota huyo kuzima akaunti zake za X na...

READ MORE

Jasinta Makwabe Avutiwa na Usafi wa Kigali na Nidhamu ya Rwanda

Mwanamitindo na mjasiriamali wa Tanzania, Jasinta Makwabe, amefunguka kuhusu mambo yaliyomvutia zaidi alipowasili nchini Rwanda, akitaja usafi wa jiji la...

READ MORE

Fahamu Madhara ya Kuendesha Gari Taa ya Mafuta Ikiwa Inawaka

Madereva wengi wana tabia ya kupuuza taa ya mafuta pale inapowaka kwenye dashboard ya gari, wakiamini bado wanaweza kusafiri umbali...

READ MORE