×

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatatu, Septemba 4, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 4, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Waziri Bashe: Bei Ya Vanilla Ya Tsh. Milioni 1.5 Kwa Kilo Haipo Duniani – Video

Waziri wa Kilimo ametoa jibu hilo wakati akizungumza kuhusu Tanzania kuwa Mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika...

READ MORE

Katibu CCM Aipongeza Shule ya East Africa Dodoma

MWENYEKITI wa Wazazi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Dk. Rose Rwakatare, ameishukuru serikali kwa kuendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wazawa....

READ MORE

Injinia Hersi Apiga Hesabu Kali Yanga Ligi ya Mabingwa Afrika, Ligi Kuu

RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, ameweka wazi kuwa, kukosa taji la Ngao ya Jamii sio mwisho wa mapambano, hivyo...

READ MORE

#Exclusive: Dellah Mtanzania Aliyeweka Mabilioni Kwenye Biashara Ya Magari – Video

Edwin Charles Dellah ni mfanyabiashara mkubwa wa magari na Mkurugenzi wa Kampuni ya Dellah Car Traders inayohusika na uagizaji wa...

READ MORE

Vodacom Yatambulisha eSIM, Kadi ya Kielektroniki Iliyo Rafiki kwa Mazingira

  Kampuni ya teknolojia na mawasiliano inayo ongoza nchini, Vodacom Tanzania PLC imewataarifu wateja wake na Watanzania kwa ujumla kuwa...

READ MORE

Fainali Ndondo Cup kinawaka leo Kinesi Madenge dhidi ya Kibangu Rangers

LEO Jumapili, fainali ya michuano ya Ndondo Cup 2023, inatarajiwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Kinesi uliopo Shekilango, Ubungo, Dar, kati...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Amkaribisha Biteko Ofisini, Ampongeza kwa Kuaminiwa – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa Septemba 2, 2023 amemkaribisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko katika ofisi...

READ MORE

Simba Yapangwa Kuivaa Al Ahly Kwenye Super League, Kitawaka Oktoba 20 – Video

Ratiba ya michuano hiyo imepangwa  Septemba 2, 2023 ambapo Simba inatarajiwa kuanza kwa kuikaribisha Al Ahly ya Misri, mchezo wa...

READ MORE

Kamanda Asimulia A-Z Sakata La Warda Kupotea Kwa Mara Ya Kwanza, Apongeza Global Tv – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kupitia kwa Kamanda wa Mkoa, RPC Pius Lutumo limetolea ufafanuzi sakata la binti mdogo,...

READ MORE

Gavana Bill Richardson Afariki Dunia, Aliwahi Kuwa Balozi wa Marekani

Kabla ya kuchaguliwa kwake mwaka 2002 kama Gavana, Richardson alikuwa balozi wa Umoja wa Mataifa na waziri wa nishati chini...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumapili, Septemba 3, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 3, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Kilombero Sugar Wamshika Mkono Mwogeleaje Saliboko, Wampa Dola 5,000 za Kimarekani

Kampuni ya Sukari Kilombero (KSCL) imechangia katika safari ya elimu ya muogeleaji mahiri, Collins Saliboko kwa kutoa kiasi cha dola...

READ MORE

Rais Samia Aitaka PAPU Kutumia Mashirika ya Ndege ya Afrika  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Posta Afrika (PAPU) kutumia mashirika...

READ MORE

RC Chalamila Atoa Neno Kuelekea Mkutano Jukwaa Mifumo ya Chakula Afrika

WAKATI Tanzania ikijiandaa kupokea ugeni wa viongozi wakuu wa nchi mbalimbali pamoja na wadau wa mifumo ya chakula Afrika kwa...

READ MORE

Costech Yatoa  Sh. Bilioni 1.29 Kutekeleza Miradi Saba ya Kitafiti

Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia  (COSTECH) imetoa  Sh. bilioni 1.29 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi...

READ MORE

Waziri Nape Afungua Kika Cha Mawaziri wa PAPU

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye amefungua kikao cha Mawaziri wanaohusika na Huduma za...

READ MORE

Waliovamia bunge la Marekani kuhukumiwa siku ya Ijumaa

Jaji wa serikali kuu nchini Marekani atawahukumu wanachama wengine wawili wa kundi lenye msimamo wa mrengo wa kulia Proud Boys...

READ MORE

Siri Ya Robertinho Kwa Kibu Denis, Saido Yaanikwa Simba

HATIMAYE siri ya Kocha Mkuu wa Simba, raia wa Brazil, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, kupenda kuwatumia wachezaji Kibu Denis pamoja na...

READ MORE

Nabi Aichambua Yanga Ya Gamondi “Bado wanatimu nzuri ya Kubeba Ubingwa”

KOCHA wa zamani wa Yanga, Nassredine Nabi amesema ameiangalia Yanga ya sasa chini ya Miguel Gamondi na kusema kuwa inauwezo...

READ MORE