×

Wabunge SADC Wamuuunga Mkono Spika Tulia Kugombea nafasi ya Rais IPU

Jukwaa la Wabunge la Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) limepitisha rasmi hoja kuhusu suala la...

READ MORE

Robertinho Ayapa Majembe Mapya Simba Dakika 270

KUMEKUCHA! Ndio utakavyoweza kusema baada ya Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ kuomba michezo mitatu ya kirafiki sawa...

READ MORE

Mama Aangua Kilio Kizito Kisa Mwanawe… “Mateso Yangu Ni Mazito” – Video

Anna Stephano (38)Mkazi wa Arusha ambaye anapitia magumu sana baada ya mtoto wake Angela Stephano (12) kuzaliwa na tatizo la...

READ MORE

Watu 239 Walifariki Mwezi Juni nchini China Kutokana na Covid 19 – CDC

China iliripoti Alhamisi kuwa, mwezi Juni mwaka 2023, watu 239 walikufa kutokana na ugonjwa wa COVID-19, hali inayoonyesha ongezeko kubwa...

READ MORE

Mataifa 12 ya Afrika Kupata Chanjo Mpya ya Malaria – WHO

Shirika la Afya Duniani (WHO) na washirika wake wamesema karibu dozi milioni 18 za chanjo ya kwanza ya malaria duniani...

READ MORE

Sitasahau Jinsi Mchumba Wangu Alivyonisaliti Siku Moja Kabla ya Ndoa Yetu

Huku Mwanza, nilikutana na msichana mmoja mrembo na kumpenda sana, alikuwa na umbo zuri la kuvutia sana, mwenyewe nilimpenda sana...

READ MORE

Mageuzi ya Sera ya Elimu yatakavyochangia wingi wa Ujuzi na vijana kujiajiri.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof.Adolph Mkenda amesema mageuzi yajayo ya Sera ya Elimu nchini yatakayojikita kumuongezea ujuzi...

READ MORE

Mapya! Kusah Afunguka Mahusiano Yake Na Moses Iyobo, Atoboa Siri Za Kufanya Kazi Na Maua Sama -Video

MSANII wa Bongo Fleva, Salmin Hoza almaarufu Kusah ambaye ni mpenzi wa muigizaji Aunty Ezekiel leo Julai 6, 2023 amefunguka...

READ MORE

Mahitaji ya Simba na Yanga katika Dirisha Kubwa la Usajili

  Dirisha la usajili kwa klabu za ligi kuu ya NBC (NBCPL), ligi daraja la kwanza (Championship) na ligi kuu...

READ MORE

Meta Yazindua Mtandao Mwingine Wa Kijamii Utakaoshindana Na Twitter

Kampuni ya META ambayo inamiliki Facebook, Instagram na WhatsApp imezindua mtandao wake mpya uitwao ‘Threads’ mapema wiki hii ikipokea Watumiaji...

READ MORE

Wabunge Na Viongozi Wengine Wote Waaswa Kumuunga Mkono Rais Dkt Samia

Dar es Salaam, Julai 6, 2023: Wabunge na viongozi waaswa kumuunga mkono Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Kwenye Kaburi la Rais wa Kwanza wa Malawi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake huko nchini Malawi ambapo hii leo...

READ MORE

Beki Mpya Mcameroon Atuma Ujumbe Simba

RASMI sasa beki wa kati wa Cotton Sports ya nchini Cameroon, Fandoh Che Malone anakuja Simba ni baada ya kuwatumia...

READ MORE

Makamu Wa Rais Dk. Philip Mpango, Aipongeza Oryx Gas Kuendelea Kusambaza Nishati Safi Ya Kupikia Kila Kona

MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango, amesema juhudi za kulinda mazingira zinazofanywa na taasisi mbalimbali kuhamasisha nishati safi ya kupikia...

READ MORE

Rais Samia Aunda Tume ya Mipango, Apangua Wizara, Amteua Kitila Mkumbo

Kufuatia kutungwa kwa Sheria ya Mipango ya Taifa ya Mwaka 2023 pamoja na uamuzi wa kuhamishia masuala a uwekezaji Ofisi...

READ MORE

Robertinho Atua Dar Alfajiri, Amficha Kipa Mpya! Msemaji wa Simba Atamba

KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ametua nchini akitokea nyumbani kwao Brazil alipokwenda katika mapumziko. Mbrazili huyo amerejea...

READ MORE

Lake Oil Mdhamini Mkuu Tuzo Za Chaguo La Mlaji Afrika 2023

Dar es Salaam 6 Julai 2023: Kampuni ya Lake Oil Tanzania, imetangazwa kuwa mdhamini mkuu wa Tuzo za Chagua la...

READ MORE

Vodacom Yazindua Kampeni Ya ‘Biashara Pamoja, Tuamini Sisi’

Dar es Salaam – Julai 6, 2023. Katika kutekeleza adhma yake ya kutumia ubunifu wa kidigitali kuongeza ufanisi kwenye shughuli mbali...

READ MORE

Kambi ya Simba Uturuki Balaa Ahmedy Ally Afunguka Mazito!

SIMBA wanatarajia kwenda Uturuki kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, Ligi ya Mabingwa Afrika na...

READ MORE

Rais Samia Azindua Jezi Mpya Za Yanga Akiwa Malawi, Akabidhiwa Na Rais Wa Malawi-Video

Klabu ya Yanga imezindua jezi zake rasmi kwa ajili ya msimu ujao wa 2023-24 ambapo uzinduzi huo umefanyika Nchini Malawi...

READ MORE