×

Bupandwa mguu sawa kuwavaa Nyanzenda Shigongo Cup Buchosa

Yale mashindano ya Shigongo Cup yaliyokuwa yakifanyika kwa kushirikisha jumla ya timu 22 yanatarajiwa kufika tamati wikendi hii ambapo timu...

READ MORE

Job Avunja Rekodi Yake Yanga, Afunga Bao Katika Mchezo Wake wa Kwanza

DICKSON Job, beki mzawa ndani ya kikosi cha Yanga, amevunja rekodi yake aliyoaindika msimu wa 2022/23 kwa kufunga bao katika...

READ MORE

NMB Yabainisha Mikakati ya Kuwakwamua Wakulima Wadogo

Wakulima wadogo wana mchango mkubwa katika kuhakikisha utoshelevu na uhakika wa chakula nchini jambo ambalo Benki ya NMB imeahidi kuendelea...

READ MORE

#Exclusive: Mambo Ni Moto! Queen Masanja Afichua Kupata Mwanaume Arusha – Video

Queen Masanja ni mwanamke ambaye amewahi kuwa mke wa Dokta Mwaka kabla ya ndoa yao haijapigwa na kimbunga na kusababisha...

READ MORE

Bosi Simba Atamba na Aubin Kramo, Azungumza na Spoti Xtra

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, amesema nyota wao Aubin Kramo ana balaa akiwa kwenye uwanja...

READ MORE

Kifo Cha Utata Arusha: Mrembo Akutwa Mwili Ukitoka Damu Kila Sehemu Aliitwa Na Mwenzake Usiku – Video

Mrembo aliyejulikana kwa jina la Mariam Bruno (34) mkazi wa Mtaa wa Olkereian Kata ya Olasiti Jijini Arusha amefariki Dunia...

READ MORE

Bei Mpya ya Dizeli, Petroli Zapanda Kutumika kuanzia leo Jumatano Septemba 06

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya...

READ MORE

Aliyetoroka jela kwa helikopta afunguliwa mashitaka Ufaransa

Mfungwa aliyeishangaza Ufaransa, ambaye alitoroka gerezani mwaka 2018 akiwa kwenye helikopta iliyotekwa nyara amefunguliwa mashitaka Jumanne mjini Paris, huenda akakabiliwa...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano, Septemba 6, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 6, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Prof.Nombo: Serikali Inafanya Uwekezaji Mkubwa Kwenye Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam DIT

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amesema Serikali inafanya uwekezaji mkubwa kwenye Taasisi ya Teknolojia...

READ MORE

Waziri Silaa Ataka Siku Mia Moja Kutumika Kutatua Migogoro ya Ardhi

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ameelekeza  watendaji wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha ndani...

READ MORE

Mr Eazi Aachia Advice Ikiwa ni Ujio wa Albamu Mpya

  STAA wa muziki, Mr.Eazi ni gwiji linapokuja suala la kuachia rekodi tamu yenye burudani ya kipekee kwa jamii na sasa...

READ MORE

Kitengo Cha Usalama Barabarani, BETPAWA Watoa Mafunzo Kwa Bodaboda 250 Dar

Dar es Salaam, 5 Septemba 2023: Madereva 250 wa pikipiki maarufu kama bodaboda wamepata mafunzo maalumu ya kuwakumbusha sheria na...

READ MORE

Mbinu Inayoweza Kukusaidia Kupanda Cheo Kazini Haraka

  Hakuna mfanyakazi asiyependa kupanda cheo kazini kwake, hiyo ni kwa sababu mara unapopanda cheo na mshahara moja kwa moja...

READ MORE

Wananchi wa Igalula Sengerema waanza kulipwa fidia kupisha shughuli za Mgodi

Zaidi ya Shilingi Bilioni 60 zinatarajiwa kulipwa kwa wanufaika 853 kwenye Vijiji vya Sotta na Nyabila kata ya Igalula- Sengerema...

READ MORE

Kocha wa Yanga Awapiga Stop Maxi Nzengeli, Aziz KI, Jonas Mkude

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema wachezaji wake wote ikiwa ni pamoja na Maxi Nzengeli, Aziz KI, Jonas Mkude,...

READ MORE

Mchezaji Wa Timu Ya Taifa Ya Panama Auawa Kwa Kupigwa Risasi

Mchezaji wa timu ya Taifa ya Panama Gilberto Hernandez, ameuawa kwa kupigwa risasi jana katika Mji wa Colon. Watu walio...

READ MORE

Simba Watamba Kuifunga Al Ahly, Kocha Awawekea Mtego Uwanja wa Mkapa

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema hana hofu ya kukutana na Al Ahly ya Misri, kwani anazijua...

READ MORE

Wegovy: Kampuni Ya Dawa Za Kupunguza Uzito Ndio Yenye Thamani Kubwa Zaidi Barani Ulaya

Kampuni ya kuunda dawa za kupunguza uzito, Wegovy, imekuwa kampuni yenye thamani zaidi barani Ulayana kuondoa ufalme wa kampuni ya...

READ MORE

Winga wa Man United Atemwa Timu Ya Taifa Kisa Sakata la Mpenzi Wake

Winga wa Manchester United, Antony ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya Taifa hilo kufuatia madai ya kumshambulia kimwili mpenzi wake...

READ MORE