HATIMAYE Jaji Mstaafu Thomas Mihayo ameamua kuvunja ukimya kwa kueleza kuwa wanasheria waliipotosha Serikali na Mawaziri kuhusu kuendelea na mchakato...
READ MOREWaziri Wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amezindua Baraza jipya la Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) na...
READ MOREUmoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi( UVCCM ) Wilaya ya Sengerema Mkoa Mwanza kimevuna Wanachama wapya 250 kwenye Kata...
READ MORENdege mpya ya mizigo iliyonunuliwa na serikali, Boeing 767-300F iliyopewa jina la Air Tanzania Cargo ‘Lake Tanganyika’ imewasili salama katika...
READ MOREKiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amesema amesikitishwa na ajali ya treni iliyotokea nchini India iliyosababisha vifo vya zaidi...
READ MORERais wa Kenya, William Ruto ametoa ushauri huo kwa viongozi wa Afrika akisema ni muda wa kuanza kuchukua hatua ya...
READ MOREWatu watakaopatikana na hatia ya kuhusiana na ajali mbaya ya reli mashariki mwa India wataadhibiwa vikali, Waziri Mkuu wa nchi...
READ MORETimu ya USM Alger ya Algeria imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika 2022/23 kwa faida ya goli la...
READ MOREWanahisa wa Benki ya NMB wameidhinisha gawio la Shilingi Bilioni 143.1 kwa mwaka 2022, sawa na shilingi 286 kwa kila...
READ MOREKatika ukanda wa Afrika Hifadhi ya Mpanga Kipengere ndiyo hifadhi pekee yenye idadi kubwa ya Maanguko ya Maji yenye...
READ MOREDar Es Salaam, 2 Juni 2023: Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Temeke inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Hamis Slim, jana...
READ MOREZIKIWA zimebaki saa tu kabla ya kuwavaa USM Alger katika mchezo wa fainali ya pili itakaopigwa leo Jumamosi nchini Algeria,...
READ MOREBAADA ya kikosi chake kurejea kambini juzi Alhamisi, Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazil Roberto Olivieira ameweka wazi kuwa wameandaa programu...
READ MOREMsanii wa Bongo Muvi na mjasiriamali anayemiliki mgahawa maarufu wa Shishi Food, Zuwena Mohamed @officialshilole amelamba dili la kuwa balozi...
READ MOREKUELEKEA mchezo wa fainal ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger utakaopigwa leo Jumamosi nchini Algeria,...
READ MORETakriban watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea mashariki mwa jimbo la Odisha nchini India,...
READ MOREShirika la Bima la Zanzibar (ZIC) limetoa zawadi ya Piki piki kwa wakala wake Sunshine Insurance Agency kama njia ya...
READ MOREWaziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Pindi Chana akiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Meja Jenerali Mstaafu Jacob...
READ MORERipoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala (THBUB) imetoa ripoti baada ya uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi...
READ MORE