×

Nchi 30 Kushiriki Tamasha la Vyakula vya Afrika Kufanyika Bagamoyo

TAMASHA kubwa la vyakula vya kiafrika  litakalofahamika kwa jina la African Cuisine Festival 2022  kufanyika Oktoba 14 hadi 16 kwenye...

READ MORE

Bosi Yanga Aukubali Mziki wa Simba katika Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika

  KASI waliyoanza nayo Simba katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika imemuibua Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ambaye...

READ MORE

Rais Biden: Rais Putin Amepiga Vibaya Mahesabu Yake ya Kuichukua Ukraine

RAIS wa Marekani Joe Biden amesema kuwa Vladimir Putin ni mtu mwenye busara ambaye amehukumu vibaya matarajio yake ya kuichukua...

READ MORE

Kumekucha… SBL Waanza Kugawa Mbolea Bure Songwe

  HATIMAYE Kampuni ya utengenezaji mbolea ya SBL kutoka Kenya imeanza kugawa mbolea bure kwa wakulima wanaofika katika Viwanja vya...

READ MORE

Muigizaji wa Sinema ya Deadpool Amesema Hatofanya Kazi na Ryan Reynolds Tena

MUIGIZAJI wa sinema Todd Joseph Miller ambaye hucheza kama Weasel amesema hawezi kufanya kazi na muongozaji filamu ya Deadpool Ryan...

READ MORE

Rais Samia Kupokea Na Kuzindua Rasmi Chuo Cha VETA Kagera

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tazania anatarajia kupokea na kuzindua Chuo kipya cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) cha...

READ MORE

Al Hilal Mtakiona Jumapili…. Mabosi wa Yanga Wahamia Kambini Avic Town, Kigamboni

KATIKA kuhakikisha morali na hamasa inaongezeka, baadhi ya viongozi wa Yanga wamechukua maamuzi ya kukaa karibu na wachezaji wao huko...

READ MORE

Marekani Yawawekea Vikwazo Wataliban kwa Kukandamiza Wasichana na Wanawake

Marekani ilitangaza vikwazo vipya Jumanne dhidi ya Taliban, kama adhabu kwa ukandamizaji wao wa wanawake na wasichana nchini Afghanistan.  ...

READ MORE

Airtel Money Yaendeleza Bila Tozo, Kuungana na Serikali Kuongeza Unafuu

    Airtel kupitia huduma yake ya Airtel Money imetangaza kupunguza gharama za tozo za miamala ikiwa ni kuitikia wito...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi leo Oct-12, Kwa nusu bei tu   Gazeti la Championihttps://bit.ly/3M4GO0G AU Championihttps://bit.ly/3M4GO0G ....

READ MORE

Nafasi za Kazi 2 Tanzania Broadcasting Corporation (TBC), Journalist

POST JOURNALIST II – 2 POST EMPLOYER Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) APPLICATION TIMELINE: 2022-10-10 2022-10-23 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Oktoba 12, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 12 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

Wateja wa Halotel Kujipatia Zawadi Kem kem kupitia Kuongeza Salio

  Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel Tanzania yasherehekea miaka 7 ya huduma kwa kuendelea kuwahakikishia wateja ubora na kasi ya...

READ MORE

Waziri Mkenda Apongeza Kasi Ujenzi VETA Geita

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda amepongeza kasi ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi stadi-VETA katika...

READ MORE

TEN/MET Wapinga Mila Zinazomkandamiza Mtoto wa Kike

  MTANDAO wa Elimu nchini Tanzania (TenMet) imelaani vikali mila potofu ambazo bado zinambagua mtoto wa kike katika kupata elimu,...

READ MORE

Mashabiki wa Muziki: Zuchu Amzalie Haraka Diamond Kama Anataka Mali

Kama ilivyo kawaida, baada ya picha kuibuka mitandaoni ikionesha jumba ambalo lilisemekana kumilikiwa na msanii Diamond Platnumz nchini Afrika Kusini,...

READ MORE

Rais wa Angola Afanya Mazungumzo na Rais wa Ukraine Kuhusu Vita Dhidi ya Urusi

RAIS wa Angola Joao Lourenco siku ya Jumatatu amefanya mazungumzo na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kwa njia ya simu...

READ MORE

Atletico Madrid Yakamilisha Dili la Kumrudisha Griezmann Wanda Metropolitano

KLABU ya Atletico Madrid imekamilisha dili la kumrudisha klabuni hapo mshambuliaji wao aliyekuwepo klabuni hapo kwa mkopo kutokea FC Barcelona,...

READ MORE

Jini la Majeruhi Laendelea Kumuandama Kante, Kuikosa AC Milan Leo

KIUNGO mkabaji wa klabu ya Chelsea Ngolo Kante amekumbwa na majeraha mengine ikiwa ni siku chache baada ya kuanza kufanya...

READ MORE

Mbeya City Yaingia kimataifa, Yalamba Dili Sawa na Timu za EPL

 Mara baada ya pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara msimu wa 2022-23 (TPL) pamoja na Ligi kuu ya Uingereza...

READ MORE