×

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Yasogeza Mbele Mechi za Yanga, Simba na Azam FC

BODI ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) imetangaza kusogeza mbele baadhi ya michezo ya Ligi Kuu ya NBC ambayo inahusisha vilabu...

READ MORE

Wananchi Sengerema Wapendekeza Bwawa La Nhwiga Kutumika kuwa Kivutio Cha Utalii

Bwawa la ‘Nhwiga’ ( kiswahili  lango la Twiga) lililopo kijiji cha Kizungwangoma kata ya Misheni wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza...

READ MORE

Maafisa wa Jeshi Wafanya Mapinduzi ya Kuung’oa Utawala wa Kijeshi Nchini Burkina Faso

MAAFISA wa Jeshi wa Burkina Faso wamefanya mapinduzi ya kumtoa madarakani aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Luteni Kanali Paul-Henry Damiba...

READ MORE

Ofisi ya Zamani ya CCM Sengerema Kugeuzwa Kuwa Kitegauchumi

  Baada ya kumalizika kwa ofisi mpya ya CCM wilayani Sengerema imeleezwa kuwa ofisi ya zamani itakarabatiwa na kuwa kitegauchumi...

READ MORE

Biden: Putin Hawezi Kuitisha Marekani na NATO kwa Mikwara Yake

RAIS wa Marekani Joe Biden ameibuka na kudai kuwa Marekani haiwezi kutishwa na mikwara ambayo haina kichwa wala miguu inayotolewa...

READ MORE

Sh 63 Milioni Zakamilisha Ujenzi wa Ofisi Mpya ya CCM Sengerema

  Ofisi mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sengerema iliyokuwa imekwama kumalizika kwa zaidi ya miaka 15 iliyopita...

READ MORE

Chifu Edwin Mwakatumbula Akabidhiwa Ikulu Yake ya Kichifu na Kiongozi wa Machifu

    1 Oktoba 2022, Katika kutekeleza adhima ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan  ambaye ni kiongozi wa machifu nchini...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Oktoba 1, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 1 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

Dr Sukari Ajitosa Kuwania Ujumbe Mkutano Mkuu CCM Taifa

  Miongoni mwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Sengerema waliojitosa kuwania nafasi ya ujumbe mkutano mkuu CCM Taifa...

READ MORE

Waziri wa Maji Azindua Bodi ya Sita ya Wakurugenzi wa Bonde la Wami/Ruvu

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso (Mb) Amezindua Bodi ya Sita ya Wakurugenzi Bonde la Wami/Ruvu na kuweka jiwe la Msingi...

READ MORE

Kampuni ya Meridianbet Waongoza Zoezi la Usafi Upanga Jiji la Dar es Salaam

Kampuni ya meridianbet imeongoza zoezi la usafi katika maeneo ya bustani inayomilikiwa na serikali Upanga, Mtaa wa Charambe. Serikali ya...

READ MORE

Jamii Yaaswa Kuacha Kuwadhihaki Walemavu wa Ngozi kwani Wana Haki Zao Pia

JESHI la Polisi kupitia dawati la jinsia na watoto Mkoa wa Arusha limeitaka jamii kuacha tabia ya kuwadhihaki na kuwafanyia...

READ MORE

Ubora wa Diamond Platnumz Kimataifa Wadaiwa Kushuka, Wachambuzi Wafunguka

  Diamond Platnumz; ni msanii mkubwa wa muziki barani Afrika akiiwakilisha vyema Nchi ya Tanzania ambaye kuna baadhi ya watu...

READ MORE

Newcastle United Yafikia Makubaliano ya Usajili wa Mshambuliaji Kutoka Australia

KLABU ya Newcastle United ya nchini Uingereza imefikia makubaliano ya usajili wa kinda mwenye umri wa miaka 18 na mshambuliaji...

READ MORE

Ally Kamwe: Yanga Hii Ina Ubavu wa Kushindana na Vigogo wa Soka Afrika -Video

Afisa habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe leo  Septemba 30, 2022 ameongea na wanahabari  katika hotel ya Serena jijini...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe (Picha +Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli...

READ MORE

Rais Samia: Vijana Wengi Wanahangaika na Supu ya Pweza, Vumbi la Kongo -Video

RAIS Samia leo Ijumaa Septemba 30, 2022 ameagiza kufanyika utafiti wa kwanini vijana balehe wanamatizo ya lishe ili kuepuka kuwa...

READ MORE

Yanga Princess Yaingia Mkataba na Kampuni ya Watercom Yenye Kinywaji cha Jembe Energy

TIMU ya wasichana ya Yanga Yanga Princess imeingia mkataba wa mwaka mmoja na Kampuni ya Watercom yenye kinywaji cha Jembe...

READ MORE

Sweden Yabaini Sehemu Nyingine Ambapo Bomba la Mafuta la Urusi Linavuja

Walinzi wa pwani ya Uswidi wamesema kuwa wamegundua sehemu nyingine ya uvujaji wa bomba la gesi la Nord Stream na...

READ MORE

Binti Aliyepooza Mwili Mzima Abakwa

Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Juma Ligamba (45), mkazi wa Kijiji cha Kibubwa, Kata ya Butuguri wilayani Butiama mkoani...

READ MORE