×

Rais Samia Aguswa na Jitihada za Benki ya NBC Uwezeshaji Jamii Kiuchumi  

NA MWANDISHI WETU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu amezipongeza taasisi za fedha nchini ikiwemo benki ya...

READ MORE

Taifa Stars Yaondolewa Mbio za Kuelekea CHAN, Yaambulia Kipigo Kingine Uganda

  TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeambulia kipigo kingine cha pili dhidi ya Uganda cha mabao 3-0 katika...

READ MORE

Watu 18 Wauawa na Magari Kuchomwa Moto katika Shambulio la Al shabab Nchini Somalia

WATU 18 wameuawa na kikundi cha Al Shabab ikiwa ni pamoja na kuchoma chakula kilichokuwa kinapelekwa katika Mji wa Mahan...

READ MORE

Waziri wa Elimu: Ratiba ya Kufungua Shule Ipo Vilevile, Akanusha Taarifa za Uzushi

  Serikali imekanusha taarifa za uzushi zilizotolewa kuhusu tarehe ya shule kufunguliwa iliyotolewa na baadhi ya watu wasiokuwa na nia...

READ MORE

Hii ni Wiki ya Derby, Dabika na Meridianbet na Ushinde Mihela

Mechi ni nyingi lakini kubwa kuliko ni Milan Dabi na London Dabi zote zitapigwa hii leo, nafasi ni yako ya...

READ MORE

Watu 18 Wauawa katika Mashambulizi Dhidi ya Msikiti wa Afghanistan

TAKRIBANI watu 18 wameuawa na wengine 23 kujeruhiwa katika mashambulizi yaliyotokea katika msikiti mmoja mkubwa huko Herat Magharibi mwa Afghanistan....

READ MORE

Mamia ya Waombolezaji Wajitokeza Kumuaga Gorbachev, Putin Aingia Mitini

KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Rais wa Urusi na mwanasiasa mkongwe ambaye anakumbukwa na mataifa ya magharibi kwa kumaliza vita baridi...

READ MORE

Nyuklia Yatumika Kupata Umeme Katika Umoja wa Falme za Kiarabu

KUTOKA nchni Emirate Kampuni inayoitwa Emirates Nuclear Energy Corporation (ENEC) wao wamekuja na njia ya tofauti ya kupata umeme, ambapo...

READ MORE

RC Mgumba Aupongeza Mfuko wa Self Microfinance Kwa Kukuza Mtaji Wake

MKUU wa Mkoa wa Tanga Omari Mgumba ameupongeza Mfuko wa Self Microfinance kwa kuweza kukuza mitaji yao kutoka Bilioni 57...

READ MORE

Live: Rais Samia Anashiriki Maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi Visiwani Zanzibar-VIDEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anashiriki maadhimisho ya siku ya KIZIMKAZI, Visiwani Zanzibar wakati huu....

READ MORE

Kutana na Binadamu wa Kwanza Kuuza Maisha Yake kama Biashara

MIKE Merrill ndiye mtu pekee duniani anayeuzwa hadharani. Tangu 2008, maisha yake yameelekezwa kwa wanahisa wake, ambao wamenunua hisa ndani...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda Aug-31, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi...

READ MORE

Nafasi za Kazi 2 Mbeya University of Science and Technology, Biomedical Engineering

POST TUTORIAL ASSISTANT – BIOMEDICAL ENGINEERING – 2 POST EMPLOYER Mbeya University of Science and Technology (MUST) APPLICATION TIMELINE: 2022-08-26...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Septemba 3, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 3 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Argentina Anusurika Kuuawa kwa Kupigwa Risasi

MAKAMU wa Rais wa Argentina, Cristina Fernandez de Kirchner amenusurika kuuawa baada ya mwanaume mmoja kujaribu kumshambulia kwa risasi.  ...

READ MORE

Kesi ya Akina Halima Mdee, Jaji Atoa Uamuzi Sasa Kuanza Kuhojiwa Mahakani

LEO ikiwa ni Septemba 2, 2022 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepanga Septemba 30, mwaka huu kuanza kusikiliza...

READ MORE

Mbappe Achoka Kusikia Habari za Kurogwa Ataka Kuujua Ukweli, Amvutia Simu Pogba

KULINGANA na vyanzo vya habari vya kuaminika nchini Ufaransa Kylian Mbappe sasa ameonekana kuchukua hatua kwa kumpigia simu Paul Pogba...

READ MORE

Bondia Hasaan Mwakinyo na Mpinzani Wake Liam Smith Raia wa Uingereza Wamepima Uzito

TAYARI bondia Hasaan Mwakinyo na mpinzani wake Liam Smith raia wa Uingereza wamepima uzito muda mfupi uliopita katika Hoteli ya...

READ MORE

Zijue Faida za Kukumbatiana na Athari Zake kwa Afya ya Binadamu

TUNAWAKUMBATIA wengine tunapokuwa na msisimko, furaha, huzuni, au kujaribu kufarijiana. Kukumbatiana, inaonekana, kuleta faraja kwa watu wengi. Inatufanya tujisikie vizuri....

READ MORE

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya ZAECA, ACP Ahmed Khamis Makarani Ajiuzulu

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (Zaeca), ACP Ahmed Khamis Makarani leo Ijumaa Septemba 2, 2022...

READ MORE