×

Arsenal Yamtangaza Odegaard Kuwa Nahodha Mpya, Arithi Mikoba ya Xhaka

KLABU ya Arsenal imemtangaza rasmi Martin Odegaard kama Nahodha mpya kuelekea msimu mpya wa 2022/2023.   Arsenal ilimsajili mchezaji huyo...

READ MORE

Chelsea Kumnasa Cristiano Ronaldo, Wachambuzi Wadai Kwa Sasa Hastahili Kuchezea Man United

KLABU ya Chelsea wametakiwa kufanya kila wawezalo ili kumnasa Cristiano Ronaldo katika usajili mkubwa, wakati anataka kuondoka Manchester United au...

READ MORE

Mayele Avunja Ukimya Aanika Mkataba Wake, Akanusha Kuwa kwa Mkopo Yanga

HATIMAYE Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele amevunja ukimya juu ya mkataba wake na Yanga, ambapo ameweka wazi kuwa yeye si...

READ MORE

Hispania na Brazil Zatangaza Kesi ya Kwanza ya Kifo cha Homa ya Nyani

NCHI za Hispania na Brazil zimetangaza kesi za kwanza za vifo vya homa ya nyani tangu mlipuko wa ugonjwa huo...

READ MORE

Kocha Maki Awachimba Mkwara Mzito Mastaa wa Simba Okrah, Chama, Sakho

BAADA ya  Jumatano kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Klabu ya Haras El Hadood ya Misri kwenye mchezo wa...

READ MORE

Pogba Ahofia Kukosa Kombe la Dunia Kama Akifanyiwa Oparesheni ya Goti

KIUNGO wa Juventus, Paul Pogba, ana hofu kuwa anaweza kukosa fainali za Kombe la Dunia kama atalazimika kufanyiwa oparesheni ya...

READ MORE

Tanasha: Jimbo Liko Wazi, Nipo Tayari Kuwa na Mwanaume Mwingine

MWIMBAJI na mwanamitindo maarufu nchini Kenya, Tanasha Donna ameweka wazi kuwa kwa sasa hana mpenzi.   Tanasha ambaye ni mzazi...

READ MORE

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Asisitiza Nidhamu na Uadilifu kwa Watumishi TAWA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja (Mb)  Julai 29, 2022 ametembelea ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya...

READ MORE

Mbio za Marathon Jumuiya ya Madola Kurindima Asubuhi Hii Birmingham, Simbu Yumo

TANZANIA leo inatupa kete za kwanza katika riadha Michezo ya Jumuiya ya Madola wakati wanariadha wanne wa mbio ndefu (Marathon)...

READ MORE

Jaji Mkuu Atembelea Chumba Cha Mrejesho wa Taarifa za Kielektroni za Mahakama

  Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma leo tarehe 29 Julai, 2022 ametembelea Chumba cha Mrejesho wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi leo July-20, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Julai 30, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 30, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Pawasa awafungia kazi Malawi Beach Soka

      TIMU ya taifa ya Tanzania ya Ufukweni walipoteza dhidi ya Malawi ugenini kwa mabao 3-2 ambapo mchezo...

READ MORE

Urusi Yasema Wafungwa 40 wa Ukraine Wameuawa Katika Mlipuko Uliofanywa na Vikosi vya Jeshi la Ukraine

WIZARA ya Ulinzi ya Urusi imesema wafungwa 40 wa Ukraine wameuawa, kwa shambulio la makombora ya Ukraine katika Gereza moja...

READ MORE

Mahakama Yakubali Halima Mdee na Wenzake 18 Kuhojiwa

Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam imewataka  Halima Mdee na Wenzake saba kufika mahakamani hapo Agosti 26 Agosti 2022...

READ MORE

Jeshi la Polisi Limesema Tayari Limeanza Kuufanyia Kazi Ushauri wa M/Mwenyekiti wa CCM, Kanali Mtaafu Kinana

JESHI la Polisi limesema limeupokea ushauri wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana...

READ MORE

Majaliwa: Upandishaji wa Mshahara Wameangaliwa Zaidi Wale wa Kipato cha Chini

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ametoa ufafanuzi juu ya madai ya nyongeza ya mshahara ambayo...

READ MORE

Kidunda, Katompa Kitaumana Kesho Uwanja wa Majimaji Mjini Songea

MABONDIA Seleman Kidunda na Tshimanga Katompa wamepima uzito tayari kwa kesho Jumamosi kupanda ulingoni kuwania ubingwa WBF Intercontinental Afrika katika...

READ MORE

Waziri Mkuu: Wanawake Mnaweza na Wanawake Wahandisi Mnaweza Zaidi

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amewatia shime Wahandisi wanawake kuwa wanaweza na mchango wao...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Anazungumza na Wahandisi Wanawake – “Tupo Kwa Ajili Yenu”-Video

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo julai 29, 2022, amezungumza na waandisi wanawake katika kongamano lao, na kusisitiza kuendelea na utaratibu...

READ MORE