×

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Julai 23, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 23, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Mkubwa Fella: Wasanii Wengi wa Temeke Wana Mawazo Mgando, Hawashauriki

MENEJA wa Diamond Platnumz pamoja na Yamoto Band Mkubwa Fella amesema wasanii wengi wanaoiwakilisha Temeke (TMK) wana mawazo mgando hasa...

READ MORE

Dkt. Cheni: Harusi ya Nandy na Billnass Mimi Nilimshinda kwa Kura MC Gara B

MSHEREHESHAJI maarufu nchini na Staa wa filamu Dkt Cheni amesema dili la kusherehesha harusi ya mastaa wa Bongo Fleva Billnass...

READ MORE

Poulsen Asikitishwa Taifa Stars Kunyimwa Fursa ya Kuutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa

KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Kim Poulsen amesikitishwa na kitendo cha Mamlaka za soka kuinyima ruhusa...

READ MORE

Klabu ya Simba Yakamilisha Usajili wa Beki Kisiki Kutoka Sudan, Anaingia Kuziba Pengo la Wawa

  KLABU ya Simba imekamilisha usajili wa mlinzi wa kati kutoka klabu ya Al Hilal ya nchini Sudan Mohamed Ouattara....

READ MORE

JPM Magufuli Daraja la Sita Afrika

Imeelezwa kuwa Daraja la JP Magufuli, linalojengwa jijini Mwanza litakalo ziunganisha wilaya za Misungwi na Sengerema kupitia Ziwa Victoria linatarajiwa...

READ MORE

Rais Samia Agusia Uwekezaji Kwenye Sekta Usafiri wa Anga kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amegusia kuwepo kwa mchakato wa uwekezaji katika sekta ya usafirishaji...

READ MORE

Bindu, Mwanamke wa Kihindi Aliyejioa Mwenyewe, Ashawishiwa na Muvi ya Netflix

MWANAMKE mmoja anayefahamika kwa jina la Kshama Bindu raia wa India mwenye umri wa miaka 24 amekuwa gumzo mitandaoni baada...

READ MORE

Rais Samia Azindua Barabara ya Afrika Mashariki Muda Huu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua barabara ya Afrika Mashariki (Arusha Bypass) km 42.4 Ngaramtoni...

READ MORE

Rais wa Senegal Ampongeza Pape Ousmane Sakho kwa Kutwaa Tuzo ya CAF

RAIS wa Senegal Macky Sall amempongeza mshambuliaji wa Simba raia wa Senegal Pape Ousmane Sakho kwa kutwaa tuzo ya bao...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Naafari ya kazi DAI, Gender and Social Inclusion Advisor 

DAI is a global development company with corporate offices in the United States, the United Kingdom, EU, Nigeria, Pakistan, and...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Julai 22, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 22, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Sadio Mane Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa Tuzo zilizotolewa na Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF)

  Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Bayern Munich na timu ya Taifa ya Senegal Sadio Mane, ameshinda tuzo ya mchezaji...

READ MORE

Aliou Cisse, Kocha wa Timu ya Taifa ya Senegal ashinda Tuzo ya Kocha Bora wa Mwaka

ALIOU Cisse, amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwaka na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).   Aliou Cisse, 46, aliiongoza Senegal...

READ MORE

Prof. Ndalichako: Kiwanda cha kuchakata Nyama Cha Ngulu Hills Kimeleta Mapinduzi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Mhe. Profesa Joyce Ndalichako amesema kiwanda cha...

READ MORE

Asasi za Kiraia Zapewa Elimu Juu ya Masuala ya Kujitolea, Kutoa Msaada kwa Jamii

Shirika la Foundation of Civil Society (FCS) kwa kushirikiana na  East Africa Philanthropy Network (EAPN) wamewakutanisha asasi za kiraia kwa...

READ MORE

Pape Ousmane Sakho Ashinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Usiku wa Tuzo za CAF Nchini Morocco

KIUNGO Mshambuliaji wa Klabu ya Simba Pape Ousmane Sakho, ang’aa kwenye usiku wa utoaji wa tuzo za Shirikisho la Mpira...

READ MORE

Morrison Ampiga Mkwara Mzito Kapombe, Atamani Ligi Ianze Wamalizane

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison, ameahidi kuwagaragaza mabeki atakaokutana nao msimu ujao akiwemo beki wa kulia...

READ MORE

Diamond Ajibu Mapigo Tuhuma za P Funk Kwa WCB, Atoa Tamko Zito

SUPASTAA wa Bongo Fleva ambaye pia ni Mkurugenzi wa lebo ya Wasafi amekanusha tuhuma za kwamba lebo yake inawanyonya wasanii...

READ MORE