×

IGP Sirro Afanya Mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa Nchini

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa.

READ MORE

Majaribio ya VAR Kuanza Kutumika Leo Nusu Fainali Ligi ya Vijana

Teknolojia ya Usaidizi wa marejeo ya picha za mnato kwa Waamuzi ‘VAR’ inataraji kutumika leo Ijumaa, Julai 15, 2022 kwa...

READ MORE

Mabeyo Alivyoagwa Kijeshi Mbele ya Mkuu Mpya wa Majeshi Full Ukakamavu – Video

Hivi ndivyo Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jeneral Venance Mabeyo akivyoagwa rasmi kwa kukagua gwaride rasmi la Kijeshi katika Viwanja...

READ MORE

Bilioni 18 za Tarura, Neema kwa Wanambeya, Kutumika Kwenye Miradi ya Barabara na Madaraja

Wananchi Mkoani Mbeya wanatarajia kunufaika na kiasi cha shilingi bilioni 18.2, pesa zilizotengwa kutekeleza miradi mbalimbali ya barabara na madaraja....

READ MORE

Rais Samia Awasili Visiwani Pemba kwa Ziara ya Kikazi- Picha

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili visiwani Pemba leo Julai 15, 2022 kwa ajili ya...

READ MORE

Utafiti wa WHO Wathibitisha Watu Wanaoketi Muda Mrefu Wanakufa Mapema

TAFITI mbalimbali zilizofanywa na kuthibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) zinathibitisha kwamba, watu wanaoketi kwa muda wa hadi saa...

READ MORE

Mke wa Zamani wa Donald Trump, Ivana Afariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 73

MKE wa kwanza wa  Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, Ivana Trump amefariki dunia Julai 14, 2022 nyumbani kwake ...

READ MORE

Imeisha Hiyo! Hatimaye Klabu ya Yanga Rasmi Yamtambulisha Aziz Ki

Kiungo mshambuliaji  Raia wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki (26) hatimaye ametangazwa rasmi kuwa mchezaji wa klabu ya Yanga kabla...

READ MORE

Omondi Acharuka Kuitwa Shoga, Ataka Watu Watofautishe Maisha Halisi na ya Mitandaoni

MSANII maarufu wa vichekesho afrika mashariki, eric omondi ameweka wazi kuhusu madai ambayo yamekuwa yakimuandama kwamba yeye ni wa kile...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Nafasi za Kazi CRDB, Senior Manager; Diaspora Banking

Reporting line- Head of Consumer Banking   Job Summary To drive the business growth and management of the Diaspora Banking...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Julai 15, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 15, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

GGML Yang’ara Maonesho Sabasaba, Yaibuka Muajiri Bora

KAMPUNI ya Geita Gold Mine Limited (GGML), imeendelea kung’ara baada ya kuibuka mshindi katika Maonyesho ya 46 ya Kimataifa ya...

READ MORE

Tarimba Atoa Tamko Zito kwa Masikitiko, Awatakia Simba Kila Lakheri

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa SportPesa, Tarimba Abbas, amewatakia heri Klabu ya Simba kwa kuingia mkataba mpya na M-Bet,...

READ MORE

Serikali Mezani na Vyombo vya Ushauri UNESCO, Wajadili Kuhusu Maeneo ya Urithi wa Dunia

WAZIRI wa Katiba na Sheria  Dkt. Damas Ndumbaro ameongoza timu ya wajumbe kutoka Tanzania waliohudhuria kikao cha pamoja na UNESCO...

READ MORE

Msuva: Rais wa Timu Alikuwa Hapokei Simu Zangu, Nilimuombea Afe

MSHAMBULIAJI wa Timu ya Taifa ya Tanzania Simon Msuva ambaye alikuwa akikipiga katika Klabu ya Raja Casablanca amefunguka magumu aliyoyapitia...

READ MORE

MC Gara B: Kajala Alikuwa Ananizungusha Wakati Harmonize Anapambana Kurudiana Naye

MSHEREHESHAJI Maarufu nchini MC Gara B leo Julai 14, 2022 ametembelea Studio za Global TV na Global Radio ambapo amefanya...

READ MORE

Yanga Yampa Mkono wa Kwaheri Kaseke, Awashukuru Mashabiki kwa Sapoti Waliompa

KLABU ya Yanga SC, leo Alhamisi, Julai 14, 2022 imetangaza kuachana na mchezaji wake mwandamizi, Deus Kaseke ‘Mwaisa’ na kumtakia...

READ MORE

Samia: Rais Mkapa Alithubutu Kutushawishi Kushirikiana na Sekta Binafsi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemuelezea Rais wa awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa...

READ MORE

Bumbuli: Aziz Ki Ameshatua Tanzania Wananchi Wasiwe na Wasiwasi ni Suala la Muda Tu

AFISA Habari wa Klabu ya Yanga Hassan Bumbuli amethibitisha kuwa mchezaji Stephen Aziz Ki tayari ameshatua nchini Tanzania kwa ajili...

READ MORE