×

Geita Gold na Kocha Ndayiragije Wamalizana

KLABU ya Geita Gold imethibitisha kuwa imeruhusiwa kufanya usajili na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kukidhi vigezo...

READ MORE

Ahukumiwa kwa Kesi ya Kumbaka Mtoto wa Miaka 10, Ambaye alikataliwa Kutoa Ujauzito

MWANAUME mmoja katika mji wa Ohio nchini Marekani amehukumiwa kwa kosa la ubakaji baada ya kumpatia ujauzito binti mwenye umri...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kongamano la Kumuenzi Hayati Benjamin Mkapa | Zanzibar-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo 14 Julai 2022, ameshiriki katika kongamano la pili la...

READ MORE

Nafasi ya EAC-CASSOA, Aviation Medical Assessor

JOB TITLE: AVIATION MEDICAL ASSESSOR GRADE: Professional Grade (P5) REPORTS TO: Executive Director DUTY STATION: CASSOA Headquarters Entebbe, Uganda 1....

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXstra leo July-14, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Julai 14, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 14, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Naibu Waziri Katambi: Serikali Inajivunia Kuwa WCF

  SERIKALI imesema inajivunia Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa jinsi umeweza kufikia malengo yaliyokusudiwa kwa kuongeza matumaini kwa...

READ MORE

Katika Kuunga Juhudi za Rais Samia, Nmb Yatoa Vifaa Vya Afya, Elimu Wilya ya Lushoto

  Benki ya NMB imetoa msaada wa mabati 200 kwa Zahanati ya Kwemakame iliyopo wilayani Lushoto mkoani Tanga yenye thamani...

READ MORE

Baba Levo Amuonya Rayvanny, Asibadilike na Kuwa kama Harmonize

  BABA Levo au Chawa Promax wa Diamond Platnumz; ni msanii na mtangazaji wa Wasafi ambaye hajabaki nyuma kuzungumzia suala...

READ MORE

Dimpoz Afukua Makaburi Kuwekewa Sumu Afe, Amtaja Mama Yake Mzazi

OMMY Dimpoz; ni staa wa muziki wa Bongo Fleva ambaye amefukua makaburi juu ya ile ishu yake ya kuwekewa sumu...

READ MORE

Serikali Yatangaza Ajira Mpya 334

Serikali imetangaza nafasi mpya za ajira 334 katika kada tofauti tofauti ikiwa ni mlengo mpya kwa mwaka wa fedha 2022/23...

READ MORE

Makamu wa Rais Atoa Rai kwa Wafanyabiashara Kuzalisha Bidhaa Zenye Uhitaji Mkubwa Nchini

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametoa rai kwa wafanyabiashara nchini kuwekeza nguvu zao...

READ MORE

Watatu wa Familia Moja Wafariki kwa Kugongwa na Gari Wakipeleka Mtoto Hospitali

WATU watatu wa familia moja akiwemo mtoto mdogo, wakazi wa kata ya Terat  katika jiji la Arusha,wamepoteza Maisha papo hapo ...

READ MORE

Sterling Aaaga Rasmi Manchester City, Akwea Pipa Kuelekea Marekani Kujiunga na Chelsea

MCHEZAJI wa Manchester City na Timu ya Taifa ya Uingereza Raheem Sterling (27) ameandika ujumbe maalum wa kuwaaga mashabiki wa...

READ MORE

Waziri Jafo Aipongeza NEMC Kwa Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira

Pongezi hizo  zimetolewa na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhe.Selemani Jafo alipokuwa akiongea na waandishi wahabari...

READ MORE

Simba Yatambulisha Jembe Jipya Kutoka Nchini Ghana, Takwimu Zake Zinatisha

KLABU ya Simba imemtambulisha kiungo mshambuliaji raia wa Ghana Augustine Okrah akitokea Bechem United.   Okrah amesaini mkataba wa miaka...

READ MORE

Rais wa Sri Lanka Atoroka Nchi kwa Kutumia Ndege ya Jeshi, Ndugu Yake Atimkia Marekani

RAIS wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa (73) ametoroka nchi yake kwa kutumia ndege ya jeshi la nchi hiyo akiwa yeye...

READ MORE

Nane Wafariki Ajalini, Watano wa Familia Moja

Watu nane wakiwamo watano wa familia moja ambao ni mama na watoto wake wanne, wamefariki dunia baada ya magari mawili...

READ MORE

Mwanajeshi Mstaafu Aua Wakigombea Mpaka

MSTAAFU wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), Jonas Ziganyige (71), anashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam...

READ MORE

Mwizi Amuua Binti wa Kazi za Ndani na Kuuficha Mwili Huo Katika Stoo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara...

READ MORE