×

Mwanajeshi wa Ukraine Ajitolea Kifo Ili Kuwaokoa Wenzake

  Picha za video zimeonesha mwanajeshi mmoja wa Ukraine aliyeamua kujitoa mhanga ili kuwazuia wenzake wasishambuliwe na majeshi ya Urusi...

READ MORE

Klabu ya Yanga Imetangaza Kuachana na Saido Ntizazonkiza

KLABU ya soka ya Yanga imetoa taarifa kwa Umma kwa kuachana na mchezaji raia wa Burundi Saido Ntibazonkiza   Yanga...

READ MORE

Marekani Kuipatia Ukraine Mfumo aa Makombora ya Masafa Marefu

SERIKALI ya Marekani ipo kwenye mpango wa kuipatia Ukraine mfumo wa kurusha roketi nyingi za masafa marefu unaojulikana kama M270...

READ MORE

Wanaovaa Nguo Fupi Wakamatwa,Wapigwa Faini Mifuko Mitano ya Saruji

KATIKA jambo ambalo sio la kawaida, kumeibuka mjadala mzito kwa baadhi ya wananchi wa wilaya ya Makete mkoani Njombe mara...

READ MORE

Jembe: Morrison Anaondoka Kwenda Ghana, Amesema Barbara Hapokei Simu Zake

MCHAMBUZI wa soka kutoka kipindi cha Krosi Dongo kinachorushwa na 255globalradio na Global TV ametoa habari za ndani kabisa kuhusu...

READ MORE

Meli Kubwa ya EGT Southern Cross Kubeba Makaa ya Mawe Kupitia Bandari ya Mtwara

  MELI ya MV. EGT Southern Cross inatarajia kusafirisha Tani 59960 za Makaa ya Mawe kwenda Amsterdam Uholanzi, hii ikiwa ni...

READ MORE

Jino la Waziri Mkuu wa Kwanza wa Congo Kurudishwa Kutoka Ulaya

UBELGIJI itamrudishia rasmi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi jino ambalo Kamishna wa Polisi wa Ubelgiji anadai...

READ MORE

A-Z Mume Kuua Mke kwa Risasi 7

  Tukio la mauaji ya mwanamke aitwaye Swalha ambaye alikuwa akijishughulisha na masuala ya urembo (make-up artist) kuuawa na mumewe...

READ MORE

DTB FC Yabadilisha Jina, Yamtambulisha Rasmi Msemaji Wao Pamoja na Makao Makuu

KLABU ya DTB iliyopanda Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao imebadilishwa jina rasmi na kuwa Singida Big Stars Football...

READ MORE

Mo Dewji: Najivunia Kuwekeza Simba, Tupo Nafasi Ya 12 Afrika

Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kwa miaka mitano iliyopita ya...

READ MORE

Barua ya Rais Samia Yasomwa Bungeni, Ni Kuhusu Tuzo ya Babacar Ndiaye

RAIS Samia Suluhu Hassan, ameliandikia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, barua ya salamu za shukrani kuwashukuru wabunge kwa...

READ MORE

Soko la Vetenari, TAZARA Lateketea Kwa Moto Usiku wa Manane

SOKO la Vetenari lililopo maeneo ya Tazara jijini Dar es Salaam limeteketea kwa moto ulioanza majira ya saa nane za...

READ MORE

Baada ya Kuifunga Simba, Shabiki wa Yanga Afariki kwa Furaha

NI VILIO na Simanzi vikitawala nyumbani kwa James Mhamba mwenye umri wa miaka zaidi ya Sitini ambaye alikuwa shabiki wa...

READ MORE

Chongolo Awaasa Wananchi Shinyanga Kutunza Miundombinu ya Maji

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Daniel Chongolo amewasihi wananchi hasa wanao jihusisha na shughuli za uchimbaji wa madini...

READ MORE

LIVE: BUNGE LIMEPAMBA MOTO, WABUNGE WANAIULIZA SERIKALI MASWALI MAGUMU

KARIBU utazame kikao cha Bunge la 12, leo Mei 30, 2022 wabunge wanaendelea na utaratibu wa kawaida wa kuibana Serikali...

READ MORE

Viongozi Wizara ya Michezo Watembelea Kambi ya Twiga Stars

VIONGOZI wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, wakiongozwa na Waziri Mohammed Mchengerwa, wametembelea kambi ya Timu ya Taifa ya...

READ MORE

Tasisi ya Jessy Foundation Yatoa Msaada Kituo Cha Watoto Yatima

Mama mmoja anayejulikana kwa jina la Hidaya Mtaremwa mkazi wa kibada wilaya ya kigamboni Dar ea salaam amefunguka na kusema...

READ MORE

Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Ashinda Tuzo ya Mtendaji Bora Barani Afrika 2022

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, mwishoni mwa wiki alitangazwa kuwa mshindi wa kipengele cha Afisa Mtendaji...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Nbc Yaandaa Chakula cha Jioni Kwa Ajili ya Wateja Wake,Wajadili Matarajio ya Mbele

BENKI ya NBC yaandaa Chakula cha Jioni kwaajili ya wateja wake katika hoteli ya Hyatt  Regancy  the Kilimanjaro jijini Dar...

READ MORE