The House of Favourite Newspapers

Patrick: Namkumbuka Sana Kanumba – Video

0

KIJANA Patrick ambaye aliwahi kutamba katika tasnia ya filamu akiwa na marehemu Steven Charles Kanumba na binti aitwaye Jennifer kwenye moja ya filamu yao iitwayo Uncle JJ,  jana alihudhuria mazishi ya Seth Bosco ambaye ni mdogo wa marehemu Steven Kanumba katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam.

 

Patrick alikuwa na mengi ya kumzungumzia marehemu Kanumba, walivyoishi na alivyomsaidia kwenye tasnia ya filamu ilihali akiwa mtoto. Hapa nimekuwekea machache ya Patrick.

 

Leave A Reply