The House of Favourite Newspapers

Paulina Kulwa wa Mwanza Aibuka na Kitita cha Shilingi Mil.100 Kupitia Jiongeze na M Pawa

001-m-pawa

Meneja masoko huduma za kifedha wa Vodacom Tanzania, Noel Mazoya (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kumpata mshindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya Jiongeza na M-Pawa, ampapo mkazi wa Kiloleli mkoani Mwanza Bi. Paulina Kulwa,aliipuka na ushindi wa kitita cha shilingi Milioni 100/- hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Msimamizi wa bodi ya michezo ya Kubahatisha nchini, Emannuel Ndaki na Meneja wa Huduma za M-pawa wa benki ya CBA, Eric Luyangi.

002-m-pawa

Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini, Emannuel Ndaki (kushoto) akihakiki namba ya mshindi wa promosheni ya Jiongeze na M-Pawa wakati alipokuwa akionyeshwa na Meneja wa Huduma za M-pawa wa benki ya CBA, Eric Luyangi (katikati) kabla ya kupigiwa simu na Meneja masoko huduma za kifedha wa Vodacom Tanzania , Noel Mazoya (kulia) ambapo mkazi wa Kiloleli mkoani Mwanza Bi. Paulina Kulwa, aliipuka na ushindi wa kitita cha shilingi Milioni 100/- hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Promosheni hiyo inaendeshwa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na benki hiyo.

003-m-pawa

Baadhi ya waandishi wa habari wakichukua matukio mbalimbali katika droo kubwa ya mwisho ya Jiongeze na M-Pawa, ambapo Bi. Paulina Kulwa mkazi wa Kiloleli mkoani Mwanza aliipuka na ushindi wa kitita cha shilingi Milioni 100/- hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.

Comments are closed.