The House of Favourite Newspapers

PENATI ZA SIMBA VS K SHARKS 3-2 – VIDEO

TIMU ya Simba kimefanikiwa kusonga mbele mpaka hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup kwa ushindi wa matuta 3-2 dhidi ya Kariobang Sharks ya Kenya.

MANULA Akipangua Penalti Simba VS K Sharks 3-2

 

PAUL BUKABA Alivyokosa Penalti Simba VS K Sharks 3-2

 

PENALTI ya Mkude Iliyowainua Simba VS K Sharks

Comments are closed.