The House of Favourite Newspapers

Pesa na Pombe kwako Sio Mapacha?

KWA wale waliowahi au wanaokunywa pombe hata sasa, ukweli unaosemwa na watu ni kwamba, kuna uhusiano mkubwa sana kati ya pombe na pesa. Wengi wanasema kuwa, walipokuwa wakinywa pombe, pesa pia zilikuwa zikiingia kirahisi mifukoni mwao, lakini baada ya kuacha pombe, pesa nayo ikakimbia kiasi kwamba wanatamani warudie pombe ili wapate pesa!

Kwa nini pesa na pombe zimekuwa na uhusiano kama mapacha? Je, ni kweli kwenye ‘vikao’ vya pombe ndiko kuna madili ya pesa? Je, kwako wewe, umewahi kujifunza  kuhusu hilo la upacha wa pombe na pesa? Hebu changanya akili yako!

Comments are closed.