The House of Favourite Newspapers

Pesa Yako Unaiweka kwa Nani Leo UEFA?

0

Ligi ya mabingwa barani Ulaya kuendelea kutimua vumbi leo hii kwa hatua ya 16 ambapo tayari meridianbet wamekuwekea ODDS KUBWA na machaguo zaidi za 1000, hivyo kazi ni kwako tuu kubashiri na kusubiri maokoto yako.

Inter Milano atakuwa mwenyeji wa Atletico Madrid katika dimba la Giuseppe Meazza majira ya saa 5:00 usiku. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mechi hii Inzaghi na vijana wake kwa ODDS ya 1.75 kwa 4.80 kushinda mechi hii.

Simone Inzaghi ndio vinara wa ligi kule Serie A baada ya kuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo huku Atletico yeye akishika nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi hadi sasa.

Timu hizi ikumbukwe kuwa moja inatokea Italia na nyingine inatokea Hispania hivyo kukutana mara kwa mara sio rahisi huku mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2018 kwenye Champions Cup na Inter alishinda. Jisajili hapa.

Meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Inter amechukua kombe hili mara 3 huku Atletico akiwa bado hajachukua kombe hilo mpaka sasa. Inter ni wanafainali wa UEFA ambao walimenayan na City na kupoteza. Je msimu huu anaweza fika wapi?. Je atafanya nini leo hii nyumbani kwake akiwa na wachezaji kama kina Lautaro Martinez, Barella, Thuram na wengine wengi.

Jumanne ya leo UEFA inaendelea hatua za 16 bora, na  huu ndio muda wa wewe kujipigia mkwanja sasa tengenzeza jamvi lako na upige pesa hapa.

Mechi nyingine ya kuvutia kabisa na yenye ODDS KUBWA itakuwa ni kati ya  PSV Eindhoven kutoka Uholanzi dhidi ya Borussia Dortmund kutoka kule Ujerumani. Meridianbet wamempa mwenyeji nafasi kubwa ya kuondoka na pointi zote 3 kwa ODDS 2.14 kwa 3.14.

PSV ndio kinara wa ligi ya Eredivisie huku Dortmund wao chini ya kocha mkuu wakiwa nafasi ya 4 kule Bundesliga baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita. Mara ya mwisho kukutana timu hizi ilikuwa mwaka 2017 ambapo ilikuwa mechi ya kirafiki na Terzic na vijana wake kipindi hiko walishinda.

Leave A Reply