Picha : Rais Samia Amfariji Mjane wa JPM
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 19,2021 amemtembelea na kumfariji mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Nyumbani kwake Jijini Dar es salaam.
Rais Samia aliongozana na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ali Kakurwa.