The House of Favourite Newspapers

Picha: Wakazi wa Goba Wachangamkia Shinda Nyumba Awamu Ya Pili

shinda-nyumba-3

Madereva bodaboda wakiangalia kuponi ya Shinda Nyumba kwenye Gazeti la Uwazi leo.

shinda-nyumba-6

Afisa Masoko, Kefa akiendelea kutoa elimu ya kujaza kuponi.

shinda-nyumba-10 shinda-nyumba-11

Afisa Masoko wa Global, Jimmy Haroub akitoa maelekezo.

shinda-nyumba-12 shinda-nyumba-13 shinda-nyumba-14 shinda-nyumba-15 shinda-nyumba-16

Wakazi  wa Goba wakiendelea kujaza kuponi za Shinda Nyumba.

shinda-nyumba-17 shinda-nyumba-18

…Wakionesha kuponi zao baada ya kujaza.

shinda-nyumba-19

Wafanyakazi wa Global Publishers, MC Chaku (kushoto) na Jimmy (kulia) wakimkabidhi msomaji zawadi ya t-shirt.

shinda-nyumba-20

Wakiendelea kujaza kuponi.

shuinda-nyumba-1

Msomaji akielekezwa namna ya kujaza kuponi ya Shinda Nyumba.shuinda-nyumba-2

Wasomaji wakisaidiwa kujaza kuponi za Shinda Nyumba.

shuinda-nyumba-3

Mr. Uwazi akliwasili eneo la tukio.shuinda-nyumba-4

Mr. Uwazi akimuelekeza msomaji.shuinda-nyumba-6

Akisalimiana na mpiga picha Richard Bukos.shuinda-nyumba-7

Msomaji akiwa amepozi akiperuzi ukurasa mmoja baada ya mwingine kwenye Gazeti la Uwazi.shuinda-nyumba-9

Mr. Uwazi akiwaelekeza wasomaji namna ya kushiriki Shinda Nyumba. shuinda-nyumba-10 shuinda-nyumba-11

Msomaji akiweka kuponi baada ya kuijaza na kuikata,.shuinda-nyumba-12 shuinda-nyumba-13

Mr. Uwazi akitoa zawadi ya fulan kwa msoamaji.shuinda-nyumba-14 shuinda-nyumba-15

Mama akijaza kuponi kujaribu bahati yake ya SHINDA NYUMBA.shuinda-nyumba-16

shuinda-nyumba-17

Msomaji akiwa amevalia fulana ya Shinda Nyumba aliyozawadiwa na Mr. Uwazi.

DAR ES SALAAM: LEO Jumanne, Januari 24, 2017 timu ya Shinda Nyumba imewatembelea wasomaji wake katika maeneo ya Goba nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni moja ya kampeni ya kuwahamasisha wasomaji wa magazeti ya Global Publishers kushiriki bahati nasibu ya Shinda Nyumba awamu ya pili iliyozinduliwa rasmi Jumatano iliyopita.

Katika hatua hiyo, wasomaji walihamasika na kuchangamkia gazeti la Uwazi baada ya kuhamasishwa kushiriki shindanio hilo ambalo mshindi ataondoka na nyumba mpya ikiwa na fenicha zote ndani.

Hata hivyo Mr. Uwazi naye hakuwa mbali kugawa zawadi mbalimbali zikiwemo fulana kwa wasomaji wa gazeti la Uwazi waliofanikiwa kununua na kujaza kuponi ya shinda nyumba iliyoko ukurasa wa pili.

Namna ya kushiri, nunua Gazeti lolote linalochapishwa na kampuni ya Global Publishers; ambayo ni Uwazi, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Risasi, Risasi Mchanganyiko, Championi na Amani kisha jaza kuponi iliyoko ukurasa wa pili na uipeleke kwa wakala aliye karibu nawe, itatufikia, au ilete moja kwa moja kwenye ofisini kwetu Mwenge- Bamaga jijini Dar es Salaam.

PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS na ISSA MNALLY/GPL

Comments are closed.