The House of Favourite Newspapers

PICHA YA KWANZA YA MUONEKANO WA MTOTO WA RICK ROSS, ‘BILLION’

 

Novemba 6 mwaka huu rapa Rick Ross alifanikiwa kupata mtoto wa kiume, ‘Billion Leonard Roberts’ na mwanadada Briana Camille na kutangaza katika mtandao wake wa tweeter Nov 7.

 

Disemba 11 mwaka huu rapa huyo alitumia akaunti yake ya instagram kuonyesha picha kamili ya ‘Billion Leonard Roberts’ ikiwa na maelezo,  “Say wut up to my amazing son.

 

 

Mtoto huyo mpaka sahvi akaunti yake ya instagram ina wafuasi zaidi ya 12,000 akiwa anatumia jina la  billion.heir  huku ikiwa ina post 4 tu.

 

Rapa Rick Ross ana watoto wa nne akiwemo Toie Roberts, William Roberts III, Berkeley Hermes Roberts, na Billion Leonard Roberts.

 

#ISIKUPITE : MASTAA 10 WENYE MKWANJA MREFU BONGO!

 

Comments are closed.