PICHA ZA MASTAA KWENYE RED CARPET YA BET 2019
USIKU wa Jumapili Juni 24,2019 zilifanyika sherehe za utoaji wa tuzo za BET nchini Marekani ambapo mastaa mbalimbali walihudhuria tuzo hizo wakiwa wamevaa mavazi tofauti tofauti usiku huo, tumekuwekea baadhi ya picha za mastaa walioonekana kwenye Red Carpet Dj Khaled, Meek Mill, Ciara, Blac Chyna, Karrueche na wengine kibao
Afisa masoko KAREN CIVIL
Muigizaji RJ WALKER
Rapa RICK ROSS katika pozi
Mwanamuziki JIDENNA akionyesha mitindo mikali
Comments are closed.