The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Hali Ilivyo Nyumbani kwa Mo Dewji – Video

HII ni taswira halisi ya nyumbani kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji (MO) maeneo ya Oysterbay jijini Dar es Salaam ambaye ametekwa leo alfajiri katika eneo ambalo anafanyia mazoezi kila siku (GYM) Colosseum iliyopo maeneo ya Masaki.

Global TV imeweza kufika eneo amablo anaishi na kuangalia hali halisi ya kwake na kukuta ulinzi mkali unaendelea nyumbani kwake hapo.

BREAKING: ULINZI Mkali kwa MO DEWJI Baada ya Kutekwa

Comments are closed.