The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Manchester United Wajiwinda Dhidi ya Feyenoord Kesho

man-utd-2

man-utd-1

man-utd-3

man-utd-4

man-utd-5

man-utd-6

man-utd-7

man-utd-8

Kikosi cha kwanza cha Manchester United chini ya bosi wao Jose Mourinho leo kimefanya mazoezi katika Uwanja wa mazoezi wa Aon kwa ajili ya kujiwinda na mechi yao dhidi ya Feyenoord hapo kesho.

Miongoni mwa wachezaji waliofanya mazoezi ya leo ni pamoja na Zlatan Ibrahimovic aliyekosa mechi ya juzi Jumamosi dhidi ya Arsenal akitumikia adhabu ya mechi moja.

Mechi ya kesho ambayo ni ya michuano ya Ligi ya Europa itakapigwa kwenye Uwanja wa Old Trafford.

halotel-strip-1

Comments are closed.