The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Muonekano Mpya wa Chid Benz

0

chid beenz (1)

Rapa wa muziki wa hip hop, Rashid Abdallah Makwiro ‘Chid Benz’ katika pozi.

chid beenz (1)

Chid Benz akishow love na Bab Tale.

chid beenz (2)

Chid Benz akipozi na Harmonize.

Rapa wa muziki wa hip hop, Rashid Abdallah Makwiro ‘Chid Benz’ baada ya kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya, kwa sasa anaonekana kurejea katika ubora wake. Pichani juu ni muonekano wake wa sasa. Una neno gani la kumshauri Chid Benz?

Leave A Reply