The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Daraja la Waenda kwa Miguu la Furahisha Jijini Mwanza

daraja-la-furahisha-mwanza-1 daraja-la-furahisha-mwanza-2 daraja-la-furahisha-mwanza-3Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (aliyeko mbele) akikagua daraja hilo.daraja-la-furahisha-mwanza-4

MWANZA: Ujenzi wa daraja la waenda kwa miguu la Furahisha lililopo jijini Mwanza unaendelea na kwa sasa upo kwenye hatua za mwisho. Daraja hilo linatarajiwa kukamilika mwanzoni wa mwaka 2017.

Darassa Afunguka Tuhuma za Kuiba Beat ya Saida Karoli Kwenye Wimbo Wake wa Muziki

Comments are closed.