The House of Favourite Newspapers

Polisi Dar Wakamata Meno ya Tembo 156, Bunduki mbili

0

1.Kamanda wa kanda maalum wa kituo cha polisi (Centro) akionesha baadhi ya vipande vya bunduki mbili aina ya RIFLE zilizokamatwa katika oparesheni hiyo.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova  akionesha baadhi ya vipande vya bunduki zilizokamatwa  aina ya ‘RIFLE’ katika oparesheniiliyofanyika jana Temeke Sudan,  Dar.2,Kamanda Kova akionesha baadhi ya vipande vya meno ya Tembo kwa wanahabari.Kamanda Kova akionesha baadhi ya vipande vya meno ya Tembo kwa wanahabari.3...kamanda Kova akivishikilia viapnde hivyo.… Kova akivishikilia vipinde hivyo.4.Kamanda Kova akivitoa kwenye magunia yaliyokuwa yamehifadhi vipande hivyo vya meno ya Tembo.… Kova akivitoa kwenye magunia yaliyokuwa yamehifadhi vipande hivyo vya meno  ya Tembo.5.Wanahabari wakichukua tukio hilo.Wanahabari wakichukua tukio hilo.6.Kamishna wa polisi, Suleiman H. Kova (kushoto)akiongea na wanahabariKamishna wa polisi, Suleiman Kova (kushoto) akiongea na wanahabari.7.Baadhi ya vipande hivyo vya meno ya Tembo vilivyokamatwa.Baadhi ya vipande hivyo vikiwa mezani mbele ya wanahabari.

Na Denis Mtima/GPL

kova 1kova 2kova 3kova 4kova 5

Leave A Reply