The House of Favourite Newspapers

Polisi Yawasaka Waliohamasisha Mgomo wa Madereva

0

 

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawatafuta kwa mahojiano viongozi wa chama cha madereva wa mabasi yanayokwenda mikoani kwa madai ya kusambaza picha za kuchochea mgomo kwenye mitandao ya kijamii.

 

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema licha ya mgomo huo kutofanyika, lakini ni kosa kuhamasisha mgomo huo na hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote waliohusika.

 

Leave A Reply