The House of Favourite Newspapers

PROFILE RC MWANRI: Kuzaliwa, Elimu, Injinia Soma Hiyooo! – VIDEO

Katika kipindi cha ‘PROFILE’ Wiki hii tumekuandalia wasifu wa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, ambaye hivi karibuni amekuwa gumzo kwenye vyombo vya habari kutokana na ukali wake wa kutumia maneno yanayochekesha kama vile Sukuma Ndani, Injinia Soma Hiyoo, Fyekelea Mbali na mengineyo.

Comments are closed.