The House of Favourite Newspapers

Rais Dk.Mwinyi Apokea Pole Kutoka Kwa Hafidh Ameir Ikulu Zanzibar

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole Ikulu Zanzibar kutoka kwa Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hafidh Ameir kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi, Mwenyekiti wa CCM Taifa Mstaafu, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia Februari 29,  2024, Dar es Salaam na kuzikwa Machi 2, 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja .

MANENO MAZITO ya MSTAAFU KIKWETE MBELE ya DOTTO BITEKO – ”NAMPONGEZA SANA RAIS SAMIA”…

Leave A Reply