The House of Favourite Newspapers

Rais Dkt. Magufuli Apokea Hati Za Utambulisho Kutoka Kwa Mabalozi Wapya Nchini

rais-magufuli-1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Ghana hapa nchini Kwame Asamoah Tenkorang Ikulu jijini Dar es Salaam.rais-magufuli-2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi mteule wa Ghana hapa nchini Kwame Asamoah Tenkorang mara baada ya kupokea Hati yake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.rais-magufuli-3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Balozi mteule wa Ghana hapa nchini Kwame Asamoah Tenkorang Ikulu jijini Dar es Salaam.rais-magufuli-4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Sudan Mahjoub Ahmed Abdallah Sharfi Ikulu jijini Dar es Salaam.rais-magufuli-5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mteule wa Jamhuri ya Sudan hapa nchini Mahjoub Ahmed Abdallah Sharfi mara baada ya kupokea Hati yake ya utambilisho Ikulu jijini Dar es Salaam.rais-magufuli-6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi mteule wa Jamhuri ya Sudan hapa nchini  Mahjoub Ahmed Abdallah Sharfi mara baada ya kupokea Hati yake ya utambilisho Ikulu jijini Dar es Salaam.rais-magufuli-7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Balozi mteule wa Jamhuri ya Sudan hapa nchini  Mahjoub Ahmed Abdallah Sharfi mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.rais-magufuli-8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na Balozi mteule wa Jamhuri ya Sudan hapa nchini  Mahjoub Ahmed Abdallah Sharfi mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.rais-magufuli-9Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Ukraine hapa nchini Yevhemsi Tsymbalik Ikulu jijini Dar es Salaam.rais-magufuli-10Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi mteule wa Ukraine hapa nchini Yevhemsi Tsymbalik mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.rais-magufuli-11Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi mteule wa Ukraine hapa nchini  Yevhemsi Tsymbalik mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.rais-magufuli-12Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa balozi mteule wa Jamhuri ya Slovakia  Frantisek Dlhopolcek Ikulu jijini Dar es Salaam.rais-magufuli-13Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru balozi mteule wa Jamhuri ya Slovakia hapa nchini Frantisek Dlhopolcek mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.rais-magufuli-14Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na balozi mteule wa Jamhuri ya Slovakia hapa nchini Frantisek Dlhopolcek mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

PICHA NA IKULU

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Comments are closed.