The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli afuta siku ya Ukimwi, aagiza pesa ya bajeti inunue ARV

0

MagufuliRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Magufuli.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Magufuli ametangaza kufuta sherehe za siku ya Ukimwi ambayo hufanyika Desemba 1, kila mwaka na kuagiza kuwa, bajeti ya pesa zote zilizotakiwa kwenye sherehe hizo zitumike kununulia Dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi (ARV).

Sherehe hizo zilipangwa kufanyika Kitaifa mkoani Singida.

Leave A Reply