The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli na Museveni watoa maagizo kwa mawaziri wa nchi hizi mbili

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni wawaagiza Mawaziri wa nchi hizi mbili kujadiliana namna ya kukuza biashara kati ya nchi hizo.

Leave A Reply