The House of Favourite Newspapers

RAIS MSTAAFU KIKWETE ALIVYOWASILI UWANJANI HARARE, ZIMBABWE

RAIS  mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amewasili Uwanja wa Taifa wa michezo mjini Harare, Zimbabwe, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  John Magufuli, kwenye kwenye sherehe za kuapishwa kwa rais wa nchi hiyo, Emmerson Dambudzo Mnangagwa leo Jumapili Agosti 26, 2018.

 

Kikwete ameambatana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula,  akiwa na Mwenyekiti wa United Democratic Party (UDP), John  Cheyo

Comments are closed.