HabariKitaifa Rais Mwinyi Afanya Uteuzi Mpya On Oct 21, 2021 0 Share Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Jaji Khamis Ramadhan Abdalla kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar kuchukua nafasi ya Omar Othuman Makungu aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Related mwinyi 0 Share