The House of Favourite Newspapers
gunners X

Rais Mwinyi Amtumbua Katibu Wake Siku 37 Baada ya Kumwapisha

0

Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, Desemba 14, 2020 ametengua uteuzi wa Katibu wa rais, Suleiman Ahmed Saleh na kusema atapangiwa kazi nyingine, zikiwa ni siku 37 baada kumteua na kumwapisha 7 Novemba 2020.

 

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na katibu wa baraza la mapinduzi na katibu mkuu kiongozi, Rais Mwinyi ametengua uteuzi huo kwa mujibu wa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu namba 53 cha katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 na kifungu cha 12 (3) cha sheria ya utumishi wa umma namba 2 ya mwaka 2011.

 

Leave A Reply