The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisoma Ujumbe katika barua iliyotoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye uliowasilishwa kwake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi, Balozi Ezechiel Nibigira Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni wa Burundi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Mei, 2021.
Rais Samia akiwa katika mazungumzo na Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye.
Rais Samia  akisalimiana na Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye.
Rais Samia akisalimiana na Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye, Balozi Ezechiel.
Rais Samia akiwa katika picha ya kumbukumbu na Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye, Balozi Ezechiel Nibigira watatu kutoka kushoto, wakwanza kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula, pamoja na viongozi wengine kutoka Serikali ya Burundi pamoja na Ubalozini kwao hapa nchini.

Rais Samia leo Mei 21, 2021 amekutana na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi, Balozi Ezechiel Nibigira Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni wa Burundi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply