Rais Samia Ahutubia Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi (COP28), Dubai

Rais Samia Suluhu Hassan, amehutubia Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi (COP28), Dubai ambapo pamoja na mambo mengine, amesisitiza umuhimu wa nchi zote duniani kuongeza nguvu katika kutunza mazingira.




