The House of Favourite Newspapers

Harmonize Awafunika Diamond, Mbosso Kusikilizwa Zaidi Boomplay

0

Wakati mwaka 2023 ukielekea ukingoni, mtandao wa kustream muziki wa Boomplay, umetoa orodha ya wasanii waliofanya vizuri kwa kusikilizwa zaidi kupitia mtandao huo.

Maudhui ya muziki yaliyopendwa zaidi kwa 2023 kupitia App ya Boomplay ni pamoja na Bongo Flava, Afrobeats, Amapiano, Afrofusion, Gospel na HipHop & Rap.

Kwa mujibu wa Boomplay Recap 2023 kwa Tanzania iliyotolewa leo, hivi ni baadhi ya vipengele vya wasanii wakubwa uliosikilizwa na kupendwa zaidi kwa waka 2023:-

Wasanii wa Kiume walioongoza kusikilizwa
1. Harmonize
2. Mbosso
3. Diamond Platnumz

Wasanii wa Kiume walioongoza kusikilizwa
1.Zuchu
2. Nandy
3. Yammi

Wasanii walioshamiri
1. Jaivah
2. Mavokali
3. Kontawa

Nyimbo zilizoongoza kusikilizwa
1. Puuh – Billnas ft. Jay Melody
2. Utaniua – Zuchu
3. Mahaba – Alikiba

Album zilizoongozwa kusikilizwa
1. Khan – Mbosso
2. Made for Us – Harmonize
3. The Kid You Know – Mario

Leave A Reply