Rais Samia Amteua Dkt. Kikwete Kuwa Mkuu wa Chuo UDSM
Rais Samia Suluhu Hassan leo Desemba 31, amemteua Rais mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (Chancellor) kwa kipindi kingine cha miaka sita kuanzia Januari 17, 2022.