The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Apewa Tuzo Ya Heshima Kwa kuendeleza Tasnia ya Filamu

0

Tuzo za Filamu Tanzania zimefanyika Disemba 18, 2021 katika ukumbi wa Tughimbe mkoani Mbeya chini ya Usimamizi wa Bodi ya Filamu Tanzania.

Waziri Wamichezo, Sanaa na Utamaduni, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa mikoa yote nchini kuiga Mkoa wa Mbeya katika kushirikiana na Wizara yake  kuandaa Tuzo za Filamu katika miaka ijayo ili kukuza vipaji na kutoa ajira kwa wasanii wengi zaidi walio kwenye mikoa mbalimbali hapa nchini.

Waziri Bashungwa amepokea Tuzo ya Heshima kwa Niaba ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kutambua mchango wake wa kuiendeleza Tasnia ya Filamu nchini ikiwemo “Royal Tour”.

Waziri Bashungwa akipokea Tuzo ya Heshima kwa Niaba ya Rais wa Tanzania, Rais Samia  kwa kutambua mchango wake wa kuiendeleza Tasnia ya Filamu nchini ikiwemo “Royal Tour”.

Leave A Reply