The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Ateua Tena! Aliyemtoa Tanesco Maharage Chande Akaenda TTCL Ampeleka Posta Ateua Wengine 2 – Video

0

Aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Maharage Chande ameteuliwa kuwa Postamasta Mkuu katika Shirika la Posta Tanzania

Siku mbili zilizopita, Rais Samia alimteua Maharage kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TTCL akimtoa katika nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO


Leave A Reply