The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Awasili Jijini Dodoma Akitokea Dar

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 08 Agosti, 2021 wakati akitokea Jijini Dar es Salaam katika shughuli za kitaifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 08 Agosti, 2021 akitokea Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Agosti 8, 2021 amewasili jijini Dodoma akitokea Jijini Dar es Salaam katika shughuli za kitaifa.

PICHA NA IKULU

Leave A Reply