The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Awatakia Pasaka Njema Watanzania Wote

0

Leo Aprili 4 Wakristo ulimweguni kote wanaadhimisha kufufuka kwa Yesu Kristo (sikukuu ya Pasaka ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia ukurusa wake kwenye  mtandao wa Twitter  amewatakiwa pasaka njema watanzania wote.

“Nawatakia watanzania wote Pasaka njema, tuadhimishe ufufuko wa Yesu Kristo huku tukiliombea Taifa letu la Tanzania kudumisha amani, upendo na mshikamano. Tuendeleze jitihada za kuijenga nchi yetu kwa kuchapa kazi kwa juhudi na maarifa. Yesu amefufuka, Haleluya Haleluya.”  – Rais Samia Suluhu

 

 

Leave A Reply