The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Kuelekea Marekani

0

RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kesho Jumamosi, Septemba 18, 2021 kwenda New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa utakaofanyika, Septemba 23 mwaka huu.

 

Pamoja na mkutano huo Rais Samia atahudhuria mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia ya nchi usalama wa chakula na utekelezaji wa malengo ya maendeleoi endelevu (SDGs)

Leave A Reply