The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Aongoza Kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu Dar es Salaam

0
Rais Samia akiongoza Kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri kwa Mwaka 2023 kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri kwa Mwaka 2023 kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2023.
Leave A Reply