Rais Samia Suluhu Azindua Programu ya Nishati safi ya Kupikia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia wanawake barani Afrika (AWCCSP) Jumamosi, Desemba 2, 2023 Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu.